Recent content by Threesixteen Himself

  1. Threesixteen Himself

    JamiiForums Tanzania Yanga yaanza kutumia “Yanga day” — je, ni kuiga Simba day?

    ! ! Sio Vibaya Kuiga Jambo Zuri. Muhimu Ni Kukubali Tu Kwamba Wamecopy Na Kupaste Kila Kitu, Bado Kupaste Tarehe Fixed. Simba Day Ni Tarehe Nane Mwezi Wa Nane Kila Mwaka Labda Kama Kuna Jambo Lisilotarajiwa
  2. Threesixteen Himself

    JamiiForums Tanzania Wanaotembeza vitumbua, karanga, kahawa maji ya kandoro na mifuko watakiwa kuanza kulipa ushuru

    ! ! Hii Ina Tofauti GANI Na Kodi Za Kikoloni Zile Babu Zetu Walihangaikaga Nazo
  3. Threesixteen Himself

    JamiiForums Tanzania Nilichoshuhudia Kariakoo leo kimenifurahisha mno

    ! ! Daah Hatari Sana. Vijana Wanaangamia Aisee
  4. Threesixteen Himself

    JamiiForums Tanzania Wizara: Akili Unde sasa kutengenezewa Sheria na Miongozo

    ! ! Watataka Ili Uitumie Uwe Umesajiliwa
  5. Threesixteen Himself

    JamiiForums Tanzania Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

    ! ! Hujachelewa Mbona Kaka. Hata Sasa Hivi Ukiamua Unaweza Kuwa Mwanamke Wa Mtu
  6. Threesixteen Himself

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Imevuja Freeman Mbowe kuhamia CHAUMMA mwezi August

    ! ! Anachelewa Sana.... Hadi August? Kwa Nini Asiende Kesho Jamani
  7. Threesixteen Himself

    JamiiForums Tanzania Chuo cha DIT kurusha Satellite yao mwakani 2026

    ! ! 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Dah Nchi Ngumu Sana Hii Aisee. Enheee 📡 🛰️ Yaani Angani?
  8. Threesixteen Himself

    JamiiForums Tanzania Chuo cha DIT kurusha Satellite yao mwakani 2026

    ! ! 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Dah Nchi Ngumu Sana Hii Aisee. Enheee 📡 🛰️ Yaani Angani?
  9. Threesixteen Himself

    JamiiForums Tanzania Chuo cha DIT kurusha Satellite yao mwakani 2026

    ! ! 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Dah Nchi Ngumu Sana Hii Aisee. Enheee 📡 🛰️ Yaani Angani?
  10. Threesixteen Himself

    JamiiForums Tanzania Nitaijibu Barua Ya Kujiuzulu ya Humphrey Polepole kwa Hoja Nzito na kuonyesha Unafiki wake na wale wanaomtumia kumyumbisha Rais Samia

    ! ! Peleka Cv Aisee, Hapa Unapoteza Muda Tu. Hakuna Uteuzi Hapa
  11. Threesixteen Himself

    JamiiForums Tanzania Fahamu Majina ya kinyakyusa na maana zake

    ! ! Anyonyile Mwakisimi
Back
Top Bottom