Recent content by THOMASS SANKARA

  1. THOMASS SANKARA

    Mlinzi wa Rais Samia aanguka ghafla wakati wa kampeni Mbalizi, Mbeya

    Kijana kuwa na maneno ya staha na adabu kumbuka huyu ni kiongozi mkuu wa nchi yetu na kama umeshindwa kumuheshimu kwa cheo chake basi muheshimu kwa umri wake. Malezi yako yana shida kijana aliyelelewa vizuri hawezi kuandika maneno uliyoyaandika
  2. THOMASS SANKARA

    House for sale ubungo NHC

    kwa hizo kelele za walokole utatoboa kweli hapo??? Ukiondoa hicho kipengele basi bei ni reasonable kabisa ila kelele sasa🤣🤣🤣🤣
  3. THOMASS SANKARA

    Kwanini Differential equation?

    Tupo sana Uchumi kwa asilimia kubwa unatumia hesabu za calculas wachumi wenzangu watanielewa sana mambo ya Gujarat hayo
  4. THOMASS SANKARA

    Tuzitambue gari nzuri za abiria na zenye huduma bora 2025. Nipe taarifa za basi kali kutoka mkoa hadi mkoa tafadhali

    usije logwa kupanda tahmeed ni bus takataka huduma mbovu mnoo,mabus yao yamechoka sanaaaa ni kama zile daladala za mbagala-kawe. Ni bora utembee kwa miguu au upande baiskeli kuliko bus zao. Ni za hovooo kwa kifupi ni takataka
  5. THOMASS SANKARA

    Sijawahi kuona Mmasai wala Mjaluo Muislamu na Sijawahi kuona Mpemba wala Mzaramo Mkristo, huyu Mungu na Allah mbona anabagua Makabila na jamii?

    yupo Anaitwa Sheikh Hussain Yee goggle utamuoana tena ni scholar Haswa wa kusoma kwenye vyuo vikuu vikubwa vya dini ulimwenguni.
  6. THOMASS SANKARA

    Sijawahi kuona Mmasai wala Mjaluo Muislamu na Sijawahi kuona Mpemba wala Mzaramo Mkristo, huyu Mungu na Allah mbona anabagua Makabila na jamii?

    Wamasai waislam wapo wengi tu wajaluo pia wapo waislamu tele tena wanashika sana dini ukitaka kuthibitisha nenda kisumu,homa bay na eneo la magharibi mwa kenya.
  7. THOMASS SANKARA

    Ayatollah ajifunze ujasiri na ushujaa kwa Zelensky, amepitiliza uoga

    Poleni sana taifa teule,Waisrahell wa Bonyokwa Kipigo alichotoa huyu mzee ali khamenei,ayatollah akiwa chini ya handaki ni kipigo kitakatifu kwa taifa teule na yeye ndio mwamba wa mashariki ya kati kwa sasa na hata milele. Netanyahu hatosubutu asilani kurusha hata jiwe la manati Tehran au...
  8. THOMASS SANKARA

    Trump aisifia Iran asema iliipiga Israeli kwa nguvu sana.

    waisrael wa bonyokwa naona wanapita kimya kimya kama wanaaaga maiti. Hutawaona huku,wanachungulia kwa jicho moja
  9. THOMASS SANKARA

    KERO Malipo ya Wanafunzi Law School COHORT 39 wanaodai chuo (overpayment_refund) imekuwa danadana na wahusika hawajalipwa

    Unaweza kuwa na hoja nzuri sana ila ufikishaji wako ukawa haueleweki kabisa. Hivi ni mimi tu nimeona hiki kitu au na wengine. Inakuwaje graduate tena wa sheria na aliyeenda Law school anaandika kitu hakieleweki?? Nachukia sana kwa msomi kutokuwa na writting skills. Unawaabisha...
  10. THOMASS SANKARA

    Matokeo ya usaili wa oral TRA lini yatatangazwa?

    Wife nae katumiwa kapita Customs Officer
  11. THOMASS SANKARA

    Basi la mafunzo la NIT laparamia maduka na pikipiki eneo la Maji Chumvi, Tabata

    Wanafunzi hao wapo Mafunzoni au wapo kwenye practical interview
  12. THOMASS SANKARA

    Uzi wa vyakula tu

    uzi huu unanikumbusha mbali sana mkwe wangu farkhina upo wapi siku hizi
  13. THOMASS SANKARA

    Yaani unakuta Mwanaume Umelala na Huna Zana yoyote ya Kujilinda Ndani Mwako

    BWANA asipoulinda mji Yeye aulindaye akesha bure
Back
Top Bottom