Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,402
- 54,845
Hapo anamaana kuwa BAM ni demu wa puredy/dx ni ipi sasa
Hapo anamaana kuwa BAM ni demu wa puredy/dx ni ipi sasa
Labda dy/dx ya mbususu + mgegedody/dx ya kutengeneza sayari from scratch mkuu hii kwa taifa hili utapoteza hela za wananchi 😁
Hatari sanaYaani kiufupi anasema kwenye BAM kuna utoto mwingi
Ahahahaha mkuu kwa saaa naweza sema mimi naongoza kugegeda wamama humuLabda dy/dx ya mbususu + mgegedo
Jamaa anatutukana sana...Hatari sana
Tupo sanaCalculas..
Wazee wa QM na ECONOMETRICS MPO?
Watu 1000 ukizidisha mara 0 unapata watu sifuri,hii imekaaje,wale watu 1000 wameenda wapi na walikuwepo!?Tatizo lako unafikiria leo haufikirii miaka 100 ijayo
Moja ya njia ya kutengeneza utajiri ni kupitia kuwekeza kwenye technology
Nina mashaka kama kweli unaijua hiyo differential equation unayoitaja. Acha kuokoteza vitu mitandaoni bila kuelewa kisha unakuja kugeneralize mambo ya msingi.NIKIWA RAIS WA TANZANIA KUTAKUWA NA UWEKEZAJI MKUBWA SANA KWENYE DIFFERENCE EQUATION
Mfano unaposema watu sifuri ni sawa na black hole yaan ndo sifuri lenyewe..Watu 1000 ukizidisha mara 0 unapata watu sifuri,hii imekaaje,wale watu 1000 wameenda wapi na walikuwepo!?
Anaijua zaidi unavyozania..Nina mashaka kama kweli unaijua hiyo differential equation unayoitaja. Acha kuokoteza vitu mitandaoni bila kuelewa kisha unakuja kugeneralize mambo ya msingi.
Hii ni formula ya kutafuta temperature of black body kama jua na nyota zingine kubwa ambakodt/dx=e^-ERt,
Sijui formula ya kitu Gani hii. Kikubwa Kuna differentiation.
Mmenikwaza mnapowatukana watu wa BAM.
Numbers siyo mfano,na sijawahi fundishwa sifuri ni black hole, sifuri kwenye 20 bado ni black hole?Mfano unaposema watu sifuri ni sawa na black hole yaan ndo sifuri lenyewe..
Sasa ukichukua watu 1000 ukazidisha na hili lisifuri yaan black hole watu wata potea wote...
Wabillah taufuq
Kwanini usiseme watu 1000 ukizidisha na watu 0...Numbers siyo mfano,na sijawahi fundishwa sifuri ni black hole, sifuri kwenye 20 bado ni black hole?
Watu 1000 ukizidisha na mtu mmoja,unapata watu 1000 walewale,watu 1000 ukizidisha na watu(mtu) 0 unapata watu sifuri,hawa 1000 wameenda wapi?Kwanini usiseme watu 1000 ukizidisha na watu 0...m
Integral eQuationUna maanisha aliepo na waliopita hawajui hizi hesabu?
Mtu sifuri maana yake nini nielekeze hapo mkuu...Watu 1000 ukizidisha na mtu mmoja,unapata watu 1000 walewale,watu 1000 ukizidisha na watu(mtu) 0 unapata watu sifuri,hawa 1000 wameenda wapi?
Nadhani 0 kihesabu ni magic number, wakati mwingine inamaanisha hakuna kitu wakati mwingine haimaanishi hivyo,mfano ni 0 hapo ni hakuna kitu,laki 10 hapo sifuri haimaanishi hakuna kituMtu sifuri maana yake nini nielekeze hapo mkuu...
Mtu mmoja nimekuelewa vizri sana
Ila hapo kwa mtu sifuri ndo nielekeze ili na mi nijue nazidisha vipi huyo mtu 0