Recent content by Thomas Segere

  1. Thomas Segere

    Nahitaji msaada nimepoteza hisia na wanawake kabisa sijui nifanye nini

    Kwanza Nikupe pole sana mkuu. Huo sio ugonjwa, ni jambo linalitokana na msonhobwa mawazo, nijambo linalo himilika na kuisha, kibayabni kua lazima manzi alikua na fikra nyingine baada ya wewe kushindwa kukichafua kwamkapa, Solution: Ili ushinde kwanza punguza msongo wa mawazo, Njia mojawapo ni...
  2. Thomas Segere

    Ugoni bila kutenda nimeumia sana

    Huu ndulio ushauri pekee
  3. Thomas Segere

    Dawa ya kumsaidia mtoto aliyekunywa maji ya tumboni wakati wa akizaliwa

    Mpeleke hosptal mapema mana nitatizo kubwa. Nduguyangu alipoteza mtoto masaa machache kwa uzembe wa madaktari. Fanya hima brother
  4. Thomas Segere

    MSAADA: Naombeni mnisaidie dawa ya jini kuuma

    Nipigie kwa muda wako nikupe ushauri wa bure. +255716468115
  5. Thomas Segere

    Mwanamke kukosa uteute ukeni tatizo lake ni nini?

    Kama utajiskia nitafute hapa nikushauri 0716468115.
  6. Thomas Segere

    Mwanamke kukosa uteute ukeni tatizo lake ni nini?

    Keanza nikupe pole sana kwa changamoto kubwa unayo ipitia ambayo inakusononesha hasa unapohitaji faragha na mumewako. Usijiskie mbyonge, nenda hospitali kubwa onana na daktari wa akina mama tatizo lako linapona kabisa.
  7. Thomas Segere

    Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

    Usifikirie kufanya abortion, ila fikiria kulea huo ujauzito, kama inaishi na mume niwakati wake kukuonyesha mapenzi ili usijutie hali ulionayo zaidi tunza afya yako. Mpe lishe nzuri huyo mtoto naamini atakua vizuri tuu wala usiogope
  8. Thomas Segere

    Nimefanya mapenzi na mtu mwenye UKIMWI

    Brother uko salama Muombe Mungu akusaidie nakupa moyo kapime tuu but kama ulitumia mpira hakuna uwezekano wakupata maambukizi
  9. Thomas Segere

    Namna ya kusitisha matumizi ya TIN namba TRA

    Jamani kumbe hali ni mbaya kwa wote. Mimi kabiashara kangu nilianza mwezi july kwasiku mauzo yalikua nanafika hadi 1.3ml yakishuka yanafika laki 8. Lakini kwasasa nauza laki tano tuu kwa siku. Hebu wana uchumi mtusaidie nikitugani hiki jamani.
  10. Thomas Segere

    Ni wapi wameandika/kuagiza mwanaume amuhudumie na kumpa matunzo mwanamke?

    geniveros kama wewe ni mwanamke basi ni mke mwelevu, that is all about, mwanaume nikiongozi inapaswa akuongoze, hata kama wewe umejaliwa kua na bitegauchumi, yeye ndie anapaswa kuku manage nakukupa muongozo, mwanaume amepewa upeo mkubwa wa kupambanua mambo. Mwanamke amepewa kutii. Thats all.
  11. Thomas Segere

    Usichokijua kuhusu filamu ya The God Father

    Umenishawishibkuiangalia mkuu, amani kwako..
  12. Thomas Segere

    Usichokijua kuhusu filamu ya The God Father

    Uko vizuri mkuu, umenishawishi kuiangalia.
Back
Top Bottom