Recent content by Thomas Laiser

  1. T

    JamiiForums Tanzania Ujasusi niliofanya Kakonko ili kumuokoa Askofu Kakobe juu ya suala la uraia wake 2018

    Ni Asante kwa mtiririko mzuri wa habari hii.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kuwa upinzani sio 'endorsement' ya kuwa kipofu wa macho na fikra

    Umenena vema. Nimesikitika sana kwani thread nyingi siku ya leo ni za kukosoa kile kilichofanyika jana badala ya Watanzania wote kusimama pamoja kuunga mkono harakati za kuzuia WIZI MKUBWA ambao tumekuwa tukifanyiwa na majizi makomavu. Leo ni siku ambayo ilipasa pakuche Watanzania wakiwa...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Nipashe limepotosha vikali

    Taifa la ajabu lenye watu wanaoshabikia kuibiwa na kushangilia kuwa ombaomba. Katika hili Watanzania wote tunapaswa kuungana dhidi ya WIZI ambao umekuwa ukifanyika wa raslimali zetu badala ya kubeza. Unaweza kuja kukuta tumeibiwa zaidi ya hiyo iliyobainishwa jana kwenye ripoti. TUWEKENI ITIKADI...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Ijapo Mhe. Rais JPM alipiga maandamano marufuku, nadhani wakati umefika wa watu kukaidi marufuku hiyo na kuingia barabarani kuunga mkono jitihada hizi kubwa alizofanya za kubainisha na kukabili wizi wa raslimali za taifa letu. Naona ni wakati wa Watanzania wote, pasipo kujali itikadi zetu za...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anaingia kwenye vita kali

    Ni wakati wa Watanzania wote kusimama pamoja kupinga wizi uliokuwa/unaofanywa na makampuni ya madini
  6. T

    JamiiForums Tanzania Lema: Ubaguzi katika msiba wa kuaga wanafunzi waliofariki katika ajali ni ishara mbaya

    Hatukuacha kuelewa kuwa hilo litatokea. Wangefanya tofauti ndio tungeona ajabu. Mheshimiwa Lema wewe tulia na utambue kuwa UPUUZI NI MALI YA WAPUUZI. Waache walivyo na endelea kuwa muungwana kwa kuwa UUNGWANA NI MALI YA WAUNGWANA! Barikiwa na siku zote ujue TUPO PAMOJA!
  7. T

    JamiiForums Tanzania Dereva wangu, Hii ni Scania 113H- 310, tuliza akili

    As Asante Mgibeon kwa hoja murua ya kisanii lakini inayofikisha ujumbe kwa njia ya heshima. Salute kwako!!!
  8. T

    JamiiForums Tanzania HATUWEZI KUZUIA WATU KUSEMA, MWANADAMU HAKUUMBIWA KUNYAMAZA

    Bila shaka ni wakati mzuri wa viongozi na watumishi wa umma kuujua ukweli kwamba ni vigumu kuzuia kusemwa. Tufanyapo jambo zuri watu watasema kwa uzuri wake na tufanyapo jambo ambalo sio sawa kwa mujibu wa mtazamo wa watu tutasemwa vibaya. Kamwe hatuwezi kuzuia kusemwa kwani mwanadamu hakuumbwa...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye kuongea na wanahabari

    NAPE UMEINGIA TAYARI KWENYE VITABU VYA MASHUJAA WA TAIFA HILI KWA KUISIMAMIA KWELI HADI MWISHO
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    Nape amejisajili kwenye vitabu vya mashujaa wa Tanzania. Amesimamia anachoamini hadi mwisho.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    NCHI INAKWENDA HARIJOJO! AMA KWELI TANZANIA TUNAYE RAIS-HONGERA TANZANIA
  12. T

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa Waziri Nape Nnauye na Waandishi wa Habari: Kamati haijamaliza kazi

    Naamini maelezo ya ziada yatatolewa kuhusiana na hili.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Nchi inapokuwa na Rais anayejali maslahi ya Taifa kama Magufuli, inaleta amani ya moyo kwa wananchi

    Ni kweli amefanya mazuri yastahiliyo pongezi. SHIDA NI PALE ANAPODHARAU KATIBA NA KUTOHESHIMU UTAWALA WA SHERIA! Hilo linafuta mazuri yote ayatendayo. Huwezi kuwa baba uletaye matumizi yote nyumbani lakini unawatukana na kuwasimangia wa nyumbani mwako yale unayowafanyia.
  14. T

    JamiiForums Tanzania MAKONDA HAKUKOSEA KITU

    Maadam Makonda alijua mtazamo wa aliyemteua kuhusiana na hatua yake ya kuvamia kituo cha Clouds, basi tuliobakia hatuna haki ya kumlaumu kuwa kakosea. HAKUKOSEA. Alitenda lile limpendezalo aliyemteua huku akijua kuwa hatofanywa kitu. TUSIMLAUMU. Wito wangu aendelee mbele azidi kusifiwa. Hongera...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Polisi wamkamata Tundu Lissu(Mb) akiwa nyumbani kwake Dodoma. Apelekwa Dar, anyimwa Dhamana

    HALAFU VIONGOZI WA DINI WAKO KIMYA WAMEUFYATA. SHAME ON THEM
Back
Top Bottom