Recent content by thomas barbona

  1. T

    Nchi za Afrika zenye barabara bora

    Wakandalasi wanalipua. Mfumo wa tenda wa tanzaia ni m’bovu… I bu fatilia utaelewa
  2. T

    Ushauri: Biashara ya kufanya kwa mtaji chini ya Tsh 200,000. Eneo la biashara ninalo

    Angalia jamii yako inachangamoto gani, au bidhaa gani hawaipati kw urahisi, au wanaipata kwa gharama kubwa then tatua changamoto zao. Monetize the problem ili upate pesa
  3. T

    Naomba ushauri, nataka kuanza biashara ya kuosha Magari (Car Wash)

    I dont advise on such a business. No future, kwamtaji ulionao you cannot make a difference maybe kama you really know what your doing. Fanya kitu ambacho una passion nacho ili usichime mtaji
  4. T

    Naomba kujuzwa juu ya makampuni ambayo ni rahisi kuingia nayo katika busines venture!

    kampuni zinazofanya biashara izi ni chache sana , na inabidi uwe na a very potential space ili wakutafute. So kama unaamini u have a potential place andika business proposal in a very simple way alafu wewe ndo uzitafute izi kampuni. La sivyo tafuta rich individuals mfanye biashara
  5. T

    Phone4Sale Nauza simu yangu ya Samsung S10 5G

    S10 is cheaper than 500k
  6. T

    Nina shilingi milioni 64, niwekeze kwenye biashara gani kati ya hizi?

    Wazo zuli la bishara linategemea na characters za mtu husika especially kwenye kutake risk na amount ya reward anataka, lakini pia kuna watu wanauwezo wakivumilia biashara za stress na wengine hawawezi kuvumia mazingira kama hayo, wengine wanapenda pesa kiasi cha kwamba biahara yenye low return...
  7. T

    Niko njia panda yenye maumivu moyoni: Biashara yangu imelala sana je, niende kwa mganga?

    Angalia nyuma kama utaona ulipoteleza. Am sure kuna shida pahala. Ila pia skuizi competition iko jui sana and specially kea biahara za kitanzania za kuigana. Tafuta competitive advantage over the market mambo ya ndumba yapo ila mostly hayasaidii labda kwenye kijikinga tu
  8. T

    Kijana mwenye wazo la Biashara la mtaji wa Mil 5-10

    Mawazo ya hivi ni magumu kuyakuza, unaweza ukakaa miaka hata mitano na mtaji ukahitajika huo huo wa 2.5 mil with profit continue to godown as compared to capital. Ila mawazo ya hivi yapo mengi tu
  9. T

    Nchi za Afrika zenye barabara bora

    Sio barabara nyingi, ni barabara bora
  10. T

    Picha: Mji wa Ukraine ulivyogeuzwa jangwa na makombora ya Urusi

    Naona kuna vita za kujenga. Politically naisupport russia ila kiubinadamu na kiuchumi hii vita bora iishe
  11. T

    Lema: Nikimuona mtoto wa Waziri Mkuu Majaliwa au wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo nitaomba radhi

    Ukweli ni kwamba lema kaongea ukweli mtupu. Vikoba ni umaskini na ni kweli ni umaskini. Thats a fact. Bodaboda inaua watu kuliko kawaida, not even corona do what bodaboda does and the funny fact ni serikali kuchochea kwasababu inaongeza kipato kwa vijana, but it shouldn’t be apublic...
  12. T

    Makao makuu ya NALA kujengwa Kenya, je Tanzania nani katuloga?

    Kodi ya kenya iko ni nzuri kuliko all the countries in east africa. Huduma rahisi kutoka kwa mamlaka za serikali plus the effect on the market ikae kenya au tz au ata ingekua ug is the same on the market. Their government is more stable kama ningekua mimi its better kenya than tz kama nikiangali...
  13. T

    Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

    w wewe ni mwenzangu na mm😂
  14. T

    Nimfanye nini huyu mwanamke?

    we unataka mwananke wa aina gani?, ukisema umuoe a hupendi uongo io imekula kwako, kama unataka mwanamke wa kutengeneza pesa pia ukufai, kama unataka mwanamke wa kukusikiliza unavyotaka pia akufai. mi nnachoona unampenda na unafata mazuri mengine aliyonayo. kama na uwezo wa kumvumilia achana nae
  15. T

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    sikumbuki ata imetokea mara kapi ila nauhakika ni zaidi yawanawake 20 mpaka sasa.
Back
Top Bottom