Recent content by thkimboka

  1. thkimboka

    Dr. Slaa amkosoa Rais Kikwete kuhusu Rwanda

    Thats true huwezi kuacha majambaz yavamie kisa unagombana na alieko ndani
  2. thkimboka

    Kwa matendo kama haya, kwanini Joshua Nassari asiwe mbunge wa maisha Arumeru?

    Huyo ndo kamanda sio ccm wanatutangazia kilimo kwnza then wanakalisha ------ maofisin huku wakipanga njama za kuwateka na kuwang'oa kucha na kuwabambikizia kesi makamanda wetu.
  3. thkimboka

    Lissu atia fora bungeni

    Mpaka kieleweke kamanda wetu wamukizimia kipasa sauti wakashindwa kukuzimia sauti aliyokupa mungu watashindwa daima
  4. thkimboka

    Hii Ndiyo CHADEMA 1992 - 2013

    Mungu ibariki tanzania mungu ibariki chadema na watu wake peeeeeeeeeeeople power 2015 ccm tunawazika rasmi
  5. thkimboka

    Hii Ndiyo CHADEMA 1992 - 2013

    Ndugu nakushauri ukapige kwanza mswaki coz kinywa chako kinanuka na maneno unayoyatoa yanatia kinyaa
  6. thkimboka

    Kazi ya Mungu tuu, ndio kazi iliokamilika

    Mwigulu anabidia awarudie wazee wakampe maadili coz anakoelekea ni safari ya milembe
  7. thkimboka

    Felix Mkosamali (Case study)

    Zambi kubwa kuliko zote ni uoga na ukiwa na uoga hata mungu ukaa mbali nawe jithd kaka tupo pamoja
  8. thkimboka

    Kazi ya Mungu tuu, ndio kazi iliokamilika

    Nakushauri kma mbunge na mtu mwenye akili timamu achana na siasa ukatubu coz adhabu yako ni kali sana siku ya kiama huna tofauti na muuaji ww
  9. thkimboka

    Kazi ya Mungu tuu, ndio kazi iliokamilika

    Nakushauri kma mbunge na mtu mwenye akili timamu achana na siasa ukatubu coz adhabu yako ni kali sana siku ya kiama una tofauti na muuaji ww
  10. thkimboka

    CHADEMA hawajawafanyia watanzania chochote hadi sasa zaidi ya UONGO

    mkuu asante sana bila shaka yeyote mtoa mada kakuelewa kabsa
  11. thkimboka

    Dr Slaa: Mtwara wamepuuzwa!

    ndugu embu tumia akili uskurupuke tuu kma una hoja kaa kimya dr slaa akuhasi bali alijiuzulu kutokana na sheria za kanisa katholic
  12. thkimboka

    Kapteni Komba: Tundu Lissu aende Jeshini

    Tatizo kubwa la ccm hawataki kukosolewa na ndio maana wanawang'oa kucha na kuwatoa macho waandishi wa habari ila kiama chao kimefika wasubiri 2015 wataelewa tuu
  13. thkimboka

    Lema aumbuka! Namba ya simu aliyodai ya Mulongo ilikuwa ni Uzushi

    hapo nakubaliana na wewe kwa 100%
  14. thkimboka

    Salaam

    Heshima zenu wakubwa naombeni mnipokee humu ndani
Back
Top Bottom