Recent content by Thinking positive

  1. T

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    M1 lak moja
  2. T

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Oppo za jumla zinapatikana kwangu tu
  3. T

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Karibu
  4. T

    JamiiForums Tanzania Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

    Habari mshana naomba kujua ukiwa ukishainuia unaitia ndani ya maji je unasubiria iyeyuke ndiyo uoge? Au unaweza oga bila kusubiria iyeyuke? Na kama haijayeyuka mwisho ikibakia vipande unaweza achana navyo? Au naweza I brend kwenye Brenda halaf niogee? Naomba kama upo online unijib kesho...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    10piece
  6. T

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    X50 glaze black 128gb bei yake M .1270000 X50pro black M .1586000
  7. T

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Umenielewa vibaya boss sijamhukum mtu ,simu ya bei reja tofaut na jumla mfano anaweza niambia anahitaji simu ya aina gani? Nimpe bei apambane nayo
  8. T

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Hapana mkuu mi nipo India,ukiagiza moja huon km itacost kwny usafiri? Ndy mana natafuta wa jumla
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kubota PEM140DI power tiller

    Bado unahitaji? Hp ngap?
  10. T

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Habari naombeni mniagize simu kutoka India kama vile Lenovo,oppo,ime Nokia nk kwa wauzaji cm jumla karibuni+91 97179 98645
  11. T

    JamiiForums Tanzania Simu gani bomba ya Android?

    Angalia na useme ipi price peleke rupees to tzsh
  12. T

    JamiiForums Tanzania Nikikupatia laki 5 utanipa kiasi gani kila week kama faida ?

    Comment zinaridhisha Ila Kuna wadau wamezama PM na madau kuliko ya hapo kwenye thrend nna mashaka hapa nimebaki na mtihani nani mkweli nani sio mkweli Nitafanya pata potea maana hii kama Kamali sasa nikiliwa mtanichimbia kaburi, ushauri niscreenshot niwapost walonifata PM au ni deal na hawa wa...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Simu gani bomba ya Android?

    Simu nzuri na bei yake pia nzuri
  14. T

    JamiiForums Tanzania Simu gani bomba ya Android?

    Bei gani ?mana India 49000 rupees ,Bongo wanauzaje ?
  15. T

    JamiiForums Tanzania Nikikupatia laki 5 utanipa kiasi gani kila week kama faida ?

    Habari wanaJF Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza naomba Kwa aliye seriousy na muaminifu nikikupatia laki 5 utafanyia biashara gani? Na utanipatia kiasi gani kama faida kila week? Uwe tayari kunionesha wapi unaishi? Kitambulisho cha taifa mdhamini , Ufanye biashara faida upatayo...
Back
Top Bottom