Simu gani bomba ya Android?

Simu gani bomba ya Android?

Hela ngapi hii kitu?
Bei gani ?mana India 49000 rupees ,Bongo wanauzaje ?
Range ya being Ni kama hiv
IMG_20201002_212609_580.JPG


Na kaka yake Ni kama hivi
IMG_20201002_212544_507.JPG


Kazi kwako!!
 
Simu bomba kwa maana ya kamera, display, performance au battery mkuu. Hebu mtu akiuliza swali jaribi kufaganua
 
Natafuta duka ambalo linauza simu original natafuta samsung note 9
 
Back
Top Bottom