Mbona kimya wajameniHii machine inatengenezwa India, naomba kufahamu kuhusu upatikanaji wake hapa Tanzania au ikibidi jinsi ya kuagiza nje ya nchi.Natanguliza shukrani kwa mchango wako!View attachment 476768
Bado unahitaji? Hp ngap?Mbona kimya wajameni