Recent content by Thinker II

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

    CCM out! Hakuna namna.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Rorya aagiza matokeo yatangazwe kwa nguvu

    Atakayepingana na UCHAMBUZI huu, basi atakuwa siyo mwanamke wala mwanaume... cjui atakuwa na Jinsia gani. Lowassa ndio rais kwa mujibu wa kanuni ya 40 years au pungufu ya 40 years lakini siyo zaidi ya 40 years.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mahesabu ya uchaguzi 2015, Vijana kumbeba Lowassa

    Bado wanaendelea kubandika. Huku kwetu walibandika jana jioni. Kituo cha hapa shule ya sekondari kisasa. Nashukuru jina langu lipo. Pia kichinjio a . k . a kikatio changu kipo salama salimin.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Dalili zote zinaonesha ni Lowassa

    Kama Lowassa ni chaguo la Mungu, na kwamba Mungu ameona kuna ulazma wa kuiondoa CCM, basi mm pia naungana na mleta mada...... Lowasa ndo rais.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Tanga: Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA, E. Lowassa - Septemba 28, 2015

    Lowassa Rais wa Tanzania.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Open University of Tanzania kwa masomo ya practical utaratibu ukoje?

    Napenda kuulizia utaratibu wa usomaji kwa masomo ya practical unakuwaje kwani ninapenda kusoma UWALIMU teachings subjects ni Physics na Mathematics. Pia kipindi cha mtihani kwa somo la practical unakuwaje kwa sisi tuishio Dodoma? Maabara za Physics zipo kwenye Centre? Naomba msaada plz.
  7. T

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Lowassa
  8. T

    JamiiForums Tanzania Viongozi Wakuu wa NCCR - Mageuzi Watoa Tamko, Waikosoa UKAWA

    Najua hata kipindi CCM inaundwa hapakuwepo na usawa wa 50% kwa 50% kwa vyama vyote vishiriki (TANU na ASP). UKAWA songa mbele....
  9. T

    JamiiForums Tanzania Wanachama wa TANU na ASP waliopinga kuundwa kwa CCM

    UKAWA msikatishwe tamaa na hao wapinga umoja,kisa uchu wa madaraka. Wanaojitoa ndani ya UKAWA, wao siyo wa kwanza kwani hata hayati baba wa Taifa, alishuhudia wanaTANU na wanaASP wasiopenda mabadiliko, waliendelea kunyanyua mabango yaliyoandikwa "HATUITAKI CCM". Lakini baadae waliona maamuzi ya...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Viongozi Wakuu wa NCCR - Mageuzi Watoa Tamko, Waikosoa UKAWA

    Licha ya kuwepo na uongozi imara wa waasisi wa vyama vishiriki (TANU na ASP), vilivyounda CCM, lakini bado kulikuwa na misuguano(ya kiuongozi) ndani ya vyama vishiriki. Kinachojiri kwa sasa ndani ya UKAWA ni hatua ambayo haiepukiki Kwan kuna watu wenye mapenzi na Tanzania kama Taifa..... pia...
  11. T

    JamiiForums Tanzania UKAWA wanahitajika kuwa makini zaidi hasa katika eneo hili

    Hapo umesema kweli. Pipooooooz.......
  12. T

    JamiiForums Tanzania UKAWA sasa IKAWA?

    Hata kipindi ASP na TANU zinaungana na kuunda CCM, misukosuko na migongano haikukosekana japokuwa wazee waasisi wa vyama vishiriki (TANU na ASP), walikuwa na nguvu ya ajabu. UKAWA itahimiri misukosuko kama ilivyohimiri CCM wakati inaundwa. Mungu ibariki UKAWA.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Timu ya kampeni ya CCM kizungumkuti, wajumbe wasusa kiaina

    Mfg date : Exp date :25 /10 /2015
  14. T

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Saddam alikuwa rais wa Kuwait!!

    Tatizo chemistry imejaa kichwani.
Back
Top Bottom