Mahesabu ya uchaguzi 2015, Vijana kumbeba Lowassa

Mahesabu ya uchaguzi 2015, Vijana kumbeba Lowassa

Ocampo four

JF Senior Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
5,789
Reaction score
2,159
Katika uchaguzi wa mwaka huu, data kutoka NEC zinaonyesha vijana ni kete muhimu kuamua nani awe rais. Vijana waliojiandikisha ni zaidi ya asilimia 57% kitu ambacho kinafanya kuwa kundi maalum la kuamua huu uchaguzi...

Hili ndio kundi analokubalika zaidi Lowassa. Lowassa kwa muda mrefu kajenga uhusiano binafsi na vijana wa bodaboda, machinga, mamantilie. Vijana wasio na ajira. Vijana ambao ni wakulima, wafugaji, wavuvi nk..

Lowassa katokea kupendwa na vijana kila kona nchi. Vijana wana mahaba na mapenzi makubwa kwa Lowassa. Hata mikutano yake vijana huonyesha shamrashamra kubwa sana...

Kwa hali hiyo na kwa mahesabu hayo na kwa data hizo za NEC, hakuna jinsi Lowassa akashindwa kwenye huu uchaguzi.... Hakuna
 
Attachments

  • 1445147454661.jpg
    1445147454661.jpg
    49.3 KB · Views: 1,098
Majina hayajabandikwa wandugu.... hadi leo siku zimebakia chache ila hakina majina kabisa, siku hiyo tusishangae tukikosa majina yetu
 
Usiseme VIJANA-sema MATEJA.Hakuna KIJANA YEYOTE SMART,MWELEWA NA ANAYETUMIA KICHWA CHAKE SAWASAWA ATAMPIGIA KURA FISADI PAPA LAWASSA.Hakuna

Mwambie atambue vijana tupo, hatuna muda na mikutano na tunajielewa. Kura kwa magufuli
 
Hilo la kura ya vijana kumbeba mshindi wa urais halina ubishi. Iwapo vijana wengi watapiga kura jumapili sheherekea Lowassa rais ccm imekwenda na maji.
 
Mimi na familia yangu na vijana wenzangu Kura kwa Dr.John Pombe Magufuli.

Wewe na familia yako kumpigia JPM sio habari maana ujinga wa watanzania unajulikana. Habari ni idadi kubwa ya waliojitambua wakaukana ujinga wa miaka nenda rudi kushabikia na kupigia kura chama kisichojali ugumu wa maisha ya watu!
 
Katika uchaguzi wa mwaka huu, data kutoka NEC zinaonyesha vijana ni kete muhimu kuamua nani awe rais. Vijana waliojiandikisha ni zaidi ya asilimia 57% kitu ambacho kinafanya kuwa kundi maalum la kuamua huu uchaguzi...

Hili ndio kundi analokubalika zaidi Lowassa. Lowassa kwa muda mrefu kajenga uhusiano binafsi na vijana wa bodaboda, machinga, mamantilie. Vijana wasio na ajira. Vijana ambao ni wakulima, wafugaji, wavuvi nk..

Lowassa katokea kupendwa na vijana kila kona nchi. Vijana wana mahaba na mapenzi makubwa kwa Lowassa. Hata mikutano yake vijana huonyesha shamrashamra kubwa sana...

Kwa hali hiyo na kwa mahesabu hayo na kwa data hizo za NEC, hakuna jinsi Lowassa akashindwa kwenye huu uchaguzi.... Hakuna

Kwanini vijana wasifanye maigizo kama wamelipwa kuigiza? Hakuna kijana timamu atakayempigia huyu mkuu
 
Poverty,unemployment and awareness of ones plight- conditions so right for social revolution. CCM bye bye.
 
hakuna mgombea wa jmt anaeitwa "lawassa" hivyo ulichokisema ni sahihi kabisa........"rais wa kuwait ni sadam hussein, shabikia kipofu akuongoze kipofu mwenzie mtafika mbaaaaaali.....so sad wa-tz!!!!!!
 
Watanzania Hatuwezi kuchaguliwa Rais na Rizwani.

Wananch wamesha amuwa wamchaguwe nani! LOWASSA PEKEE NDIO CHAGUO LA WANANCH
 
Majina hayajabandikwa wandugu.... hadi leo siku zimebakia chache ila hakina majina kabisa, siku hiyo tusishangae tukikosa majina yetu

Bado wanaendelea kubandika. Huku kwetu walibandika jana jioni. Kituo cha hapa shule ya sekondari kisasa. Nashukuru jina langu lipo. Pia kichinjio a . k . a kikatio changu kipo salama salimin.
 
Watanzania Hatuwezi kuchaguliwa Rais na Rizwani.

Wananch wamesha amuwa wamchaguwe nani! LOWASSA PEKEE NDIO CHAGUO LA WANANCH

Urais kwake ilikuwa maji kwa glasi lakini kashindwa kufanya kampeni ajiandae kulia wala hana watu wa kutawala naye
 
Back
Top Bottom