Recent content by thinka

  1. T

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Prof. Assad ateuliwe Ukurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari

    Kutokana na wizi na ubadhirifu wa bandari yetu napendekeza Profesa Assad ateuliwe nafasi hiyo
  2. T

    JamiiForums Tanzania Waarabu wangekuwa mbali kama isingekuwa kuchanganya dini na siasa

    Ndugu mtoa mada nakushauri urudi tena kusoma historia ya waarabu kabla ya dini ya uislam . ila ukosome ukiwa huru kabisa kifikra namaanisha usisome ukiwe na chuki na uislam halafu urud tena utoe maoni yako.
  3. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu anataka nimuoe rafiki yake wawe wawili, je anamaanisha au ni mtego?

    Oa tu
  4. T

    JamiiForums Tanzania Dr. She in hana hela kulipia umeme ila kuongeza peremende anazo!

    Umeongea kwa chuki sana nini tatizo au ndo roho zetu za kiafrika
  5. T

    JamiiForums Tanzania Nani wa kumpisha kati ya hawa binadamu 4?

    hapo nampisha mgonjwa huku nikimsaidia kumbebea mama mgonjwa na bibi mkoba
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ni nini kinachoitafuna Zanzibar ndani ya NECTA? 10 baya la mwisho shule saba?

    akiolewa hafanyi mtihani wa form six hao wanaoongelewa ni waliofanya mtihani
  7. T

    JamiiForums Tanzania Tuliyoyasema: Mabilioni ya NSSF et al ya "uwekezaji" hayalipiki!! - Ripoti ya CAG yafichua

    tatizo sio NSSF tatizo ni dau si uwe wazi naona unajificha kwenye msitu wa karanga
  8. T

    JamiiForums Tanzania Siri yafichuka: Kumbe Mussa Natty ni Katibu wa Friends of Lowassa Wilaya ya Kinondoni

    haya majipu sasa yamekua na fitina na chuki
  9. T

    JamiiForums Tanzania 'Mnyalu' wa UDSM: Muuza karatasi aliyetumia fursa

    elimu yako itakua imekusaidia nini si bora hyo ada ingewekwa?tusome tuelimike tufanye vitu kutokana na elimu yetu tuhudumie jamii
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

    badilisha taswira ya kilimo kwa kuwasoma waliofanikiwa kupitia kilimo like page yetu
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    badilisha taswira ya kilimo kwa kuwasoma waliofanikiwa kupitia kilimo like page yetu https://www.facebook.com/pages/Kilimo-biashara/1601207576795194?fref=nf
  12. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sina hamu ya kuendelea kuishi na mke niliyezaa naye watoto watatu

    Acuity Peaneno likizo kaambali nae kama mwezi
  13. T

    JamiiForums Tanzania Bila Nyerere, Abdulrahman Babu angeuawa Zanzibar - Ashura Bilal

    Wanasisasa vijana ni wakati wakuiga mafundisho ya babu tumieni wknd zenu kusoma na kufundishana siasa tumechoka siasa za kishabiki tunataka siasa za ushindani wa maendeleo
  14. T

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif: ZEC inatumika kuandikisha watu waliokodiwa katika daftari la kudumu la mpiga kura

    MAELEZO YA KATIBU MKUU WA CUF NA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS, MAALIM SEIF SHARIF HAMAD, KWENYE MKUTANO NA VYOMBO VYA HABARI DAR ES SALAAM SERENA HOTEL, 10 MEI, 2015 Ndugu zangu Wahariri na Waandishi wa Habari, Assalam Alaykum. Awali ya yote, hatuna budi kumshukuru Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa...
  15. T

    JamiiForums Tanzania UKAWA mwisho Nungwi, Zanzibar Wote CUF

    Mashekha wanateuliwa na rais
Back
Top Bottom