Recent content by Think Wise

  1. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzungu kakataa Mimba

  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzungu kakataa Mimba

    Huyo ndugu yako naye ni jasiri! Unakutana na mtu kwenye dating site, hujawahi kukutana naye uso kwa uso, halafu anakukatia tiketi ya ndege unaenda nchi ya mbali kwa sababu ya mapenzi na mtu uliyewasiliana naye nyuma ya keyboard tu. Unakula chakula anachokuandalia, kila kitu anakufanyia yeye...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Barua ya mwaliko ili kupata passport

    Sababu zipo nyingi mkuu, lakini hiyo ni mojawapo kuondoa hofu ya uhamiaji haramu. Kuna sababu nyingine kama kuthibitisha safari yako kama ni ishu ya kutembelea familia, charity nk, lakini pia kuthibitisha muda wa kukaa, kuonyesha uhusiano wako na mwenyeji wako kama ni shirika, mtu binafsi nk...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Barua ya mwaliko ili kupata passport

    Invitation letter anaandika mwenyeji wako huko unakoenda. Just kuthibitisha kuwa yeye ndiye anakupokea, usije zamia nchi za watu kama mhamiaji haramu😀😀
  5. T

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane mbinu za kuondoa michirizi

    Naomba kuuliza pia michirizi ambayo imetokea kwenye juu ya taya kidogo kushuka mpaka shingoni?
  6. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mtoto kupoteza uwezo wa kuongea

    Jaribuni pia kumkazania lugha moja, msimchanganyie lugha, kiswahili, kingereza mara mother tongue language kwa huo umri mdogo, inamchanganya mtoto na atashindwa kujiamini kuwa ashike ipi. By the way kwa umri huo bado mdogo, Mungu atamsaidia ataongea tu wakati wake ukifika wa kuongea.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Niambie ni mambo gani ya ajabu ulishawahi kufanya ukiwa na hasira hadi ukikumbuka unaweza kucheka na kujionea aibu kwa wakati mmoja...

    Hahaha utakuwa una Bipolar sio bure, just joking [emoji23][emoji23]
  8. T

    JamiiForums Tanzania Dhambi ambazo huwezi tubu peke yako bila kushirikisha watumishi wa Mungu

    Sijakuelewa kwasababu majibu yako ni agree to disagree. Mara nenda kwa mtumishi, kama yuko mbali mtumishi anatosha, akiwa karibu mtumishi atamfuata. Hakuna straight forward answer ambalo linajibu hoja in specific way.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Dhambi ambazo huwezi tubu peke yako bila kushirikisha watumishi wa Mungu

    Bado sijakuelewa, lakini nashkuru kwa ufafanuzi wako.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Dhambi ambazo huwezi tubu peke yako bila kushirikisha watumishi wa Mungu

    Bado hujanijibu swali langu, je mtu akiwa nchi ya mbali au mlikutana kwa emergency na hamjuani ndio habari ikaishia hapo na hakuna mawasiliano, na hujui ana mume au hana! Hoja yangu ndio iko hapo na hujajibu.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Dhambi ambazo huwezi tubu peke yako bila kushirikisha watumishi wa Mungu

    Kwa upande wa muibiwa ndio sijakuelewa, hapo mtumishi anamalizaje, Kwa hapo ndio hujafafanua.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Picha ya uso wa mtu aliekata tamaa ya kuishi baada ya kuhukumiwa miaka 22 Jela

    Hakika mkuu, umeongea point sana. Vitu vingine ni hekima na ubinadamu tu utumike.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Lini Tanzania ilibadili msimamo wake kuhusu Israel?

    Unaonaje hayo maandamano yakaanza na kushinikiza kuachiwa kwa mateka wanaoshikiliwa na hamasi akiwemo mtanzania mwenzetu na mpaka saivi hatujui alipo au walipo!
Back
Top Bottom