Recent content by think tank01

  1. think tank01

    JamiiForums Tanzania Barua ya Polepole itakuwa imeandikwa na wanaharakati siyo ya level ya Balozi

    Kwahio mama yenu ni mkurupukaji 😉
  2. think tank01

    JamiiForums Tanzania Photo bucket

    Kuta 2 sakaafu 1
  3. think tank01

    JamiiForums Tanzania Photo bucket

    Blue kalala, white kasimama na black kalalia mgongo akiiweka miguu yake kwenye ukuta
  4. think tank01

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazima kwa waziri wa fedha Mh Mwigulu

    Una Ukitaka kwenda Burundi, mabasi yanapaki wapi?
  5. think tank01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni style gani ambayo wanawake huwa wanaiogpa?

    Hivi hua mnaiombea siku kabla ya kuanza kazi, na hua mnaomba nini ?
  6. think tank01

    JamiiForums Tanzania Serikali ebu tangazeni ajira za maana

    Tutangaze ajira zipi Tujulishe unataka kuajiriwa wapi.
  7. think tank01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafikiria kuzaa mtoto wa nje, mke wangu anaharibu watoto kwa kigezo cha "upendo"

    Mwanaume ongezea idadi ya watoto (nje ya ndoa) kwa sababu zinazoelekeana na hizi 1. Mahitaji ya watoto wa ndani yametimilika 2. Una biashara zinazojitegemea na kujiendesha 3. Una Nyumba/frem za kupangisha 4. Una mashamba ya kuzalisha mazao ya biashara 5. Una mashamba ya mifugo 6. Lakini pia hata...
  8. think tank01

    JamiiForums Tanzania Labda ame smell something Fishy, hatuwezi jua

    Tuendelee kunywa haya mauji uji ya ndizi, vijinyama viko chini, mbali sana.
  9. think tank01

    JamiiForums Tanzania Msanii Abigail Chams aliyeteuliwa kuwania tuzo za BET Leo akiwa Bungeni Dodoma

    Kwamba una stahili wewe kwa sababu una bet sana?
  10. think tank01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake Tubadilishe Style vitandani, Wanaume Wanatuchoka Mapema

    Hawapendi kujifunza staili mpya 😆
  11. think tank01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake Tubadilishe Style vitandani, Wanaume Wanatuchoka Mapema

    Tuma tena picha, sijapenda 😧
  12. think tank01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niliamini ananipenda kumbe alinifanya kichekesho

    Malizia sehemu iliyobaki 😌
  13. think tank01

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Dkt. Manyau nyau apigwa na mganga mwenzake msibani

    Kwani wanagombania nini
  14. think tank01

    JamiiForums Tanzania Nauza pikipiki aina sinoray

    Sawa
Back
Top Bottom