Yani Mwanaume jinsi alivyo na upendo kwa wanawake...!!! Hivi unajua mwanaume hata akipewa kundi la wanawake 100 achague mmoja kati yao!! Hata akichagua mzuri kupita wote bado roho itamuuma sana kuwaacha wale 99 waliobaki!!!??
Jamani acha tu Mungu awabariki sana wanaume kwa upendo wa aina hii...
Pole sana....hali hiyo inawatokea wanawake wengi sana, Kifupi tu hilo ni pepo la usinzi linakuandama na soon usipokua makini na ndoa yako itakua historia. Na mbaya zaidi hutakaa uwe na amani.
Huyo mwanaume unaemsifia, am telling you, huyo ni kahaba wa kutupwa na pengine ameshatembea au...
Arusha na Moshi wanafanya hiyo kazi..Kampuni zinazojulikana sana ni Rajinder Motors (Moshi) Na Hanspaul(Arusha) Hizo kampuni bei zao ziko juu sana....kuna makampuni madogomadogo ambazo bei zao ziko chini kidogo....ila andaa sio chini ya mill 12
SPECIAL KWA WADADAS...Ni ndefu lakini jitahidi kusoma...utajifunza kitu kizuri sana......
Jamani enyi wada nisiwafiche, watu wengi huchangia sherehe ili waje kula na kunywa na kuoneshana fahari, ukoo wa Mume na ukoo wa mke nao wanaoneshana umwamba hawa kwenye Send-off na hawa wanajibu kwenye...
Mimi sikukatazi kutumia mwili wako kama kitega uchumi.
Sikukatazi kulala na wanaume kwaajili ya pesa, mavazi, vipodozi na hata magari.
Lala na kila mwanaume unayemwona mbele yako.
Endelea tu kubadili wanaume kama hereni leo unavaa nyekundu kesho pinki.
Endelea kuweka rekodi ya kulala kwenye...
Hii Imenigusa.....
*most will not even bother to read this*
1. Most Africans are religious, but not spiritual.
I don`t know why I started here but let`s move on anyway. Religion is a significant part of Africans, but unfortunately, an average African really doesn`t know how God works. Most...
Ndugu yangu wewe mwenye O+ utakua unapendwa sana kung'atwa na mbu...wewe jaribu siku moja ukae mahali penye mbu na mtu mwenye damu group tofauti...mbu watakushambulia wewe zaidi...
Hii nimeitoa mahali… Soma itakusaidia Sanaa!
• Kamwe usihisi kama ulimwengu ndio unakaribia mwisho pale akupendae anapokuacha.
MUACHE AENDE !
• Kujaribu kumlazimisha mtu akupende ni sawa na kujaribu kumlazimisha Nguruwe kutambua usafi na uzuri. Usimlazimishe akupende, mwache mwenyewe...
Pole sana Gololi One..Kiukweli natambua ni vigumu sana sana kusamehe kwa akili ya kibinadamu..Lakini naamini kabisa ukiwa serious na dhamira ya dhati wa kusamehe nakuhakikishia inawezekana.. Kukubwa mshirikishe Mungu na ufikirie kwa undani zaidi mateso unayoendelea kupata pindi tu unapomkumbuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.