Huu ni ujinga. Barabara za feeder zinajengwa maeneo mbalimbali. Huna macho au hutembei. Halafu una negative attitude bila kuangallia vizuri faida zilizopo.
Watu wengine sijui kwanini badala ya kujenga hoja mnakalia kudhani watu wana akili mgando. Wewe unatukana watanzania kuwa akili zao ziko kwenye chupa ya Mucolyn halafu kwa kujiamini. Wewe ni mpumbavu.
Chadema kuna mambo ya ukabila na undugu sana tu. Mke Tundu Lissu na Dr. Slaa wamepewa ubunge viti maalum. Lucy Owenya na binti wa Ndesamburo na Grace Kihwelu ni mkwe wake
Kiukweli wabongo wengi hasa wasichana wanatumia sana Facebook kuuza sura na hatimaye kupata mahusiano ambayo mara nyingi huwa sio serious lakini eventually baadhi zinakuwa kweli
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.