Edward Lowassa: Tatizo ni uwaziri mkuu (tafadhari isome hii)

Ccm ina maana nyingi xana chukua chako mapema ,chama cha majambazi na mengineyo tatizo kila kiongozi hajiamini kama ataendelea kuwepo ndo maana pindi anapopata chance anadumisha jina la chama CHUKUA CHAKO MAPEMA (CCM) ili pindi akibwagwa awe ameshajigawia na c unajua ccm tukiiba hatushitakiwi km kawa tunapelekwa mahakamani kisha tunapotezewa kimyakimya
 
Soma thread vizuri, inaelekea hujamuelewa kabisa Mwea. Mleta mada anawapinga watu wanomtetea EL kuwa ni mchapa kazi na mwenye maamuzi magumu. Ametoa mfano wa Mwakyembe kuwa nae ni jembe na si lazima awe huyo EL pekee.

Ndg umeona watz tusivyo makini wa kutambua? Ahsante kwa kumuelewesha
 
Aliyekuambia suruhisho ni Lowasa ni nani? usitake kututoa kwenye mstari, suruhisho letu ni kuiondoa CCM Madarakani period. pumba zako peleka lumumba au chamwino

Sangarara embu soma tena vzr uenda hujaelewa nini kinaongelewa.
 
Mwaka 2005 wakati Jakaya Kikwete anagombea Urais ilijulikana wazi kuwa kama angepata Urais basi Lowassa Ngoyai Edward angekuwa Wazir Mkuu- "YAKATIMIA"

Au kama Prof Mark Mwandosya angepata Urais basi Dr Harrison Mwakyembe angeukwaa Uwazir mkuu- "HAYAKUTIMIA"

Ili kutihibitisha hili- Wakati Dr Harrison anakabidhiwa jukumu la kuifatilia sakata lile mpaka tupo njia panda (Richmond) alimwambia Lowasa ajitetee- na Mkuu huyu wakati anajitetea alisema " TATIZO NI HUU UWAZIRI MKUU"

Hii ni kumaanisha kuwa ilikuwa ni Vita ya Madaraka ya Utendaji mkuu kabisa wa serikali na Lowasa alijiona anaonewa WIVU.

UHALISIA......
Kumekuwa na dhana kwa baadhi ya watu kuwa Lowasa ndie suluhisho la MATATIZO ya WATZ na ni mtu mwenye MAAMUZI MAGUMU
KULIKO KIONGOZI YEYOTE!!

DR MWAKYEMBE kakabidhiwa Rungu (UWAZIRI KAMILI) anaonyesha uwezo wake wa utendaji kazi kwa kufanya kile kilichokuwa kinafichwa kwa kuwekwa chini ya fulani.

JE HATUJIONI KUWA SASA NI MUDA MUAFAKA WA KUAMINI NCHI HII INAVIONGOZI WENGI MAHIRI NA WENYE MAAMUZI YENYE TIJA KWA TAIFA NA madailiko hayaletwi na mtu mmoja tu ni SISI SOTE NDIO TUTAIBADLISHA TZ pia yatupasa tubadilishe ule msimamo MGANDO uliopo na FIKRA zetu zilizopo kwenyekijichupa cha MUCOLYNE kuwa Suluhisho ni huyo jamaa - Lowasa..........!!?

You are mistaken my dear

Tatizo letu kama taifa ni MFUMO siyo mtu...

huyo Mwakembe hakuna anachofanya hapo zaidi ya kupigana na ukuta.....

What is happening ...tunamsifia kwa kurusha mateke na ngumi nyingi kwenye ukuta...wakati wenye akili timamu wanajua kwamba anapoteza muda na nguvu....

Tukae chini tu-redefine majukumu ya kila waziri katika wizara husika........
 
Sangarara embu soma tena vzr uenda hujaelewa nini kinaongelewa.
Nahakika kwamba nimekuelewa vizuri, ninajibu kile ulichokiwasilisha hapa, bila kujali unafikiria nini, post yako inajenga hoja kwamba tunao watanzania wanaoweza kututoa hapa tulipo ndani ya CCM una mpoint out mwakyembe kama mfano, THIS IS WHAT MAKE ME SICK.
 
Mwaka 2005 wakati Jakaya Kikwete anagombea Urais ilijulikana wazi kuwa kama angepata Urais basi Lowassa Ngoyai Edward angekuwa Wazir Mkuu- "YAKATIMIA"

Au kama Prof Mark Mwandosya angepata Urais basi Dr Harrison Mwakyembe angeukwaa Uwazir mkuu- "HAYAKUTIMIA"

Ili kutihibitisha hili- Wakati Dr Harrison anakabidhiwa jukumu la kuifatilia sakata lile mpaka tupo njia panda (Richmond) alimwambia Lowasa ajitetee- na Mkuu huyu wakati anajitetea alisema " TATIZO NI HUU UWAZIRI MKUU"

Hii ni kumaanisha kuwa ilikuwa ni Vita ya Madaraka ya Utendaji mkuu kabisa wa serikali na Lowasa alijiona anaonewa WIVU.

UHALISIA......
Kumekuwa na dhana kwa baadhi ya watu kuwa Lowasa ndie suluhisho la MATATIZO ya WATZ na ni mtu mwenye MAAMUZI MAGUMU
KULIKO KIONGOZI YEYOTE!!

DR MWAKYEMBE kakabidhiwa Rungu (UWAZIRI KAMILI) anaonyesha uwezo wake wa utendaji kazi kwa kufanya kile kilichokuwa kinafichwa kwa kuwekwa chini ya fulani.

JE HATUJIONI KUWA SASA NI MUDA MUAFAKA WA KUAMINI NCHI HII INAVIONGOZI WENGI MAHIRI NA WENYE MAAMUZI YENYE TIJA KWA TAIFA NA madailiko hayaletwi na mtu mmoja tu ni SISI SOTE NDIO TUTAIBADLISHA TZ pia yatupasa tubadilishe ule msimamo MGANDO uliopo na FIKRA zetu zilizopo kwenyekijichupa cha MUCOLYNE kuwa Suluhisho ni huyo jamaa - Lowasa..........!!?
Nenda kamwambie Mwakyembe atuambie yote yanayohusu Richmond maana alisema aliyaacha ili kuilinda serikali ya kikwete akasahau kuwa alitumwa na watanzania na watanzania bado wanataka kujua ukweli wa Richmond.....Vinginevyo gharama zote alizoliingiza taifa kwa taarifa yake ya Richmond zina mhusu atuonee huruma alipe angarau robo yake....
 
Mwakyembe nae nini zuzu tu yule.mtu anaefanya madudu kwenye ofisi ya umma adhabu yake si kumwachisha kazi then unakaa pembeni na kumkenulia meno,peleka mahakamani watu wa aina hiyo.........hakuna jembe wala mchapa kazi huko magambani msitutoe kwenye line...period
 
Mwaka 2005 wakati Jakaya Kikwete anagombea Urais ilijulikana wazi kuwa kama angepata Urais basi Lowassa Ngoyai Edward angekuwa Wazir Mkuu- "YAKATIMIA"

Au kama Prof Mark Mwandosya angepata Urais basi Dr Harrison Mwakyembe angeukwaa Uwazir mkuu- "HAYAKUTIMIA"

Ili kutihibitisha hili- Wakati Dr Harrison anakabidhiwa jukumu la kuifatilia sakata lile mpaka tupo njia panda (Richmond) alimwambia Lowasa ajitetee- na Mkuu huyu wakati anajitetea alisema " TATIZO NI HUU UWAZIRI MKUU"

Hii ni kumaanisha kuwa ilikuwa ni Vita ya Madaraka ya Utendaji mkuu kabisa wa serikali na Lowasa alijiona anaonewa WIVU.

UHALISIA......
Kumekuwa na dhana kwa baadhi ya watu kuwa Lowasa ndie suluhisho la MATATIZO ya WATZ na ni mtu mwenye MAAMUZI MAGUMU
KULIKO KIONGOZI YEYOTE!!

DR MWAKYEMBE kakabidhiwa Rungu (UWAZIRI KAMILI) anaonyesha uwezo wake wa utendaji kazi kwa kufanya kile kilichokuwa kinafichwa kwa kuwekwa chini ya fulani.

JE HATUJIONI KUWA SASA NI MUDA MUAFAKA WA KUAMINI NCHI HII INAVIONGOZI WENGI MAHIRI NA WENYE MAAMUZI YENYE TIJA KWA TAIFA NA madailiko hayaletwi na mtu mmoja tu ni SISI SOTE NDIO TUTAIBADLISHA TZ pia yatupasa tubadilishe ule msimamo MGANDO uliopo na FIKRA zetu zilizopo kwenyekijichupa cha MUCOLYNE kuwa Suluhisho ni huyo jamaa - Lowasa..........!!?

Nimebold hii kwa sababu viongozi au watu wenye uwezo wamekuwapo kwa muda mrefu tu tatizo ni maslahi!
 
Tatizo halipo kwa mtu mmoja mmoja, tatizo ni mfumo. Angalia alivoanza magufuli, aliambiwa apunguze speed na yule ambaye tungetegemea ampe nguvu ya kutekeleza ilani yao.
Hapa Tanzania hatulii na usafi au ufanisi wa mwakyembe au ufisadi wa lowasa, tunazungumzia ccm ambayo imetengeneza mfumo mbovu kabisa.
 
Mwaka 2005 wakati Jakaya Kikwete anagombea Urais ilijulikana wazi kuwa kama angepata Urais basi Lowassa Ngoyai Edward angekuwa Wazir Mkuu- "YAKATIMIA"

Au kama Prof Mark Mwandosya angepata Urais basi Dr Harrison Mwakyembe angeukwaa Uwazir mkuu- "HAYAKUTIMIA"

Ili kutihibitisha hili- Wakati Dr Harrison anakabidhiwa jukumu la kuifatilia sakata lile mpaka tupo njia panda (Richmond) alimwambia Lowasa ajitetee- na Mkuu huyu wakati anajitetea alisema " TATIZO NI HUU UWAZIRI MKUU"

Hii ni kumaanisha kuwa ilikuwa ni Vita ya Madaraka ya Utendaji mkuu kabisa wa serikali na Lowasa alijiona anaonewa WIVU.

UHALISIA......
Kumekuwa na dhana kwa baadhi ya watu kuwa Lowasa ndie suluhisho la MATATIZO ya WATZ na ni mtu mwenye MAAMUZI MAGUMU
KULIKO KIONGOZI YEYOTE!!

DR MWAKYEMBE kakabidhiwa Rungu (UWAZIRI KAMILI) anaonyesha uwezo wake wa utendaji kazi kwa kufanya kile kilichokuwa kinafichwa kwa kuwekwa chini ya fulani.

JE HATUJIONI KUWA SASA NI MUDA MUAFAKA WA KUAMINI NCHI HII INAVIONGOZI WENGI MAHIRI NA WENYE MAAMUZI YENYE TIJA KWA TAIFA NA madailiko hayaletwi na mtu mmoja tu ni SISI SOTE NDIO TUTAIBADLISHA TZ pia yatupasa tubadilishe ule msimamo MGANDO uliopo na FIKRA zetu zilizopo kwenyekijichupa cha MUCOLYNE kuwa Suluhisho ni huyo jamaa - Lowasa..........!!?
Kwa akili zako (kabla ya rushwa kuingia) huamini kama Richmond ni tatizo la kweli, na Lowassa anahusika?
 
Yaani siku tu CCM ikitoka madarakani naahidi kutembea uchi barabarani sijalishi chama gani kitachukua maana nimeshakichoka kwakweli sijui kwanini halafu nahisi itaniletea ugonjwa maana nikimuona mtu anashabikia CCM namchukia kweli hata akiwa ndugu yangu.

Sasa hivi nimeanza kumchukia Mama yangu maana hasikii la nani wala nini CCM na yeye damu damu nimejitahidi kumuelewesha hataki nahisi kumchukia kweli halafu sasa ni fundi chereheni juzi walikuja watu wa TRA kumfungia kibanda chake anatakiwa alipe kodi na fine kibao ambacho hakendani na kipato chake karibia laki saba ni kamuambia yote hayo ni ile kura yako ya 2010 hataki kusikia jamani sijui nifanyeje?

Mbaya zaidi kuna classmates nimesoma nao chuo bado wako mtaani halafu bado wanaishabikia CCM mmoja wao nilimuona kwenye gazeti kuhusu vijana wa CCM wa vyuo vikuu waandamana na nape kuwapokea kwa kumpongeza raisi yale wale walishamaliza siku nyingi vyuoni kuna wawili nilikuwa nawajua mmoja alimaliza mwaka 2008 na mwingine 2010 yaani kwa njaa zao wakakubali kuandamana nimewachukia kweli E mungu nisaidie hali hii isiendelee maana itanitenga na wengi sana ki ukweli siasa si iwezi inanifanya niwe na chuki sana na watu.
 
jamani suluhisho ni kuunganisha nguvu ya umma na KUIPIGA CHINI CCM then tuanze kuijenga tz upya. Lakini pia waliofisadi na kukumbatiwa na chama cha magamba lazima waburuzwe mahakamani. Wenzetu wadhungu wana kausemi kuwa 'Nothing goes un-noticed'
 
Mwaka 2005 wakati Jakaya Kikwete anagombea Urais ilijulikana wazi kuwa kama angepata Urais basi Lowassa Ngoyai Edward angekuwa Wazir Mkuu- "YAKATIMIA"

Au kama Prof Mark Mwandosya angepata Urais basi Dr Harrison Mwakyembe angeukwaa Uwazir mkuu- "HAYAKUTIMIA"

Ili kutihibitisha hili- Wakati Dr Harrison anakabidhiwa jukumu la kuifatilia sakata lile mpaka tupo njia panda (Richmond) alimwambia Lowasa ajitetee- na Mkuu huyu wakati anajitetea alisema " TATIZO NI HUU UWAZIRI MKUU"

Hii ni kumaanisha kuwa ilikuwa ni Vita ya Madaraka ya Utendaji mkuu kabisa wa serikali na Lowasa alijiona anaonewa WIVU.

UHALISIA......
Kumekuwa na dhana kwa baadhi ya watu kuwa Lowasa ndie suluhisho la MATATIZO ya WATZ na ni mtu mwenye MAAMUZI MAGUMU
KULIKO KIONGOZI YEYOTE!!

DR MWAKYEMBE kakabidhiwa Rungu (UWAZIRI KAMILI) anaonyesha uwezo wake wa utendaji kazi kwa kufanya kile kilichokuwa kinafichwa kwa kuwekwa chini ya fulani.

JE HATUJIONI KUWA SASA NI MUDA MUAFAKA WA KUAMINI NCHI HII INAVIONGOZI WENGI MAHIRI NA WENYE MAAMUZI YENYE TIJA KWA TAIFA
NA madailiko hayaletwi na mtu mmoja tu ni SISI SOTE NDIO TUTAIBADLISHA TZ pia yatupasa tubadilishe ule msimamo MGANDO uliopo na FIKRA zetu zilizopo kwenyekijichupa cha MUCOLYNE kuwa Suluhisho ni huyo jamaa - Lowasa..........!!?

tangu anipige changa la macho kwenye richmond simuamin mwa'K
 
Yaani siku tu CCM ikitoka madarakani naahidi kutembea uchi barabarani sijalishi chama gani kitachukua maana nimeshakichoka kwakweli sijui kwanini halafu nahisi itaniletea ugonjwa maana nikimuona mtu anashabikia CCM namchukia kweli hata akiwa ndugu yangu.

Sasa hivi nimeanza kumchukia Mama yangu maana hasikii la nani wala nini CCM na yeye damu damu nimejitahidi kumuelewesha hataki nahisi kumchukia kweli halafu sasa ni fundi chereheni juzi walikuja watu wa TRA kumfungia kibanda chake anatakiwa alipe kodi na fine kibao ambacho hakendani na kipato chake karibia laki saba ni kamuambia yote hayo ni ile kura yako ya 2010 hataki kusikia jamani sijui nifanyeje?

Mbaya zaidi kuna classmates nimesoma nao chuo bado wako mtaani halafu bado wanaishabikia CCM mmoja wao nilimuona kwenye gazeti kuhusu vijana wa CCM wa vyuo vikuu waandamana na nape kuwapokea kwa kumpongeza raisi yale wale walishamaliza siku nyingi vyuoni kuna wawili nilikuwa nawajua mmoja alimaliza mwaka 2008 na mwingine 2010 yaani kwa njaa zao wakakubali kuandamana nimewachukia kweli E mungu nisaidie hali hii isiendelee maana itanitenga na wengi sana ki ukweli siasa si iwezi inanifanya niwe na chuki sana na watu.

mdau usifanye hivyo she iz ur mother,,,ni MZAZI WAKO TU VYOVYOTE IWAVYO,,,,ARGH
 
Watu wengine sijui kwanini badala ya kujenga hoja mnakalia kudhani watu wana akili mgando. Wewe unatukana watanzania kuwa akili zao ziko kwenye chupa ya Mucolyn halafu kwa kujiamini. Wewe ni mpumbavu.
 
Ni uzembe wa fikra uliokithiri kuamini hatima ya jamii iko mikononi mwa mtu mmoja. Sorry kwa wanaodhani hivo.
 
Yaani siku tu CCM ikitoka madarakani naahidi kutembea uchi barabarani sijalishi chama gani kitachukua maana nimeshakichoka kwakweli sijui kwanini halafu nahisi itaniletea ugonjwa maana nikimuona mtu anashabikia CCM namchukia kweli hata akiwa ndugu yangu.

Sasa hivi nimeanza kumchukia Mama yangu maana hasikii la nani wala nini CCM na yeye damu damu nimejitahidi kumuelewesha hataki nahisi kumchukia kweli halafu sasa ni fundi chereheni juzi walikuja watu wa TRA kumfungia kibanda chake anatakiwa alipe kodi na fine kibao ambacho hakendani na kipato chake karibia laki saba ni kamuambia yote hayo ni ile kura yako ya 2010 hataki kusikia jamani sijui nifanyeje?

Mbaya zaidi kuna classmates nimesoma nao chuo bado wako mtaani halafu bado wanaishabikia CCM mmoja wao nilimuona kwenye gazeti kuhusu vijana wa CCM wa vyuo vikuu waandamana na nape kuwapokea kwa kumpongeza raisi yale wale walishamaliza siku nyingi vyuoni kuna wawili nilikuwa nawajua mmoja alimaliza mwaka 2008 na mwingine 2010 yaani kwa njaa zao wakakubali kuandamana nimewachukia kweli E mungu nisaidie hali hii isiendelee maana itanitenga na wengi sana ki ukweli siasa si iwezi inanifanya niwe na chuki sana na watu.

.....mkuu,dah!punguza jaziba,tutafika 2
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom