Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,119
- 9,049
Tukiweza kuzitumia vema bandari za nchi kavu kwa kutumia reli zetu, msongamano mkubwa unaosababishwa na malori yanayokuja kuchukua bidhaa bandarini utapungua. Tukiweza kusogeza huduma kama hizo kutoka city centre zikaenda sehemu nyingine kwa kutumia reli ili baadaye malori yaende kubeba hizo bidhaa tutasaidia kupunguza foleni.Hata hivyo kama uwezo wa kupanua barabara zetu upo, budi tufanye hivyo ili tuwiane na kasi ya ongezeko la magari.