Recent content by TheOneNation

  1. TheOneNation

    JamiiForums Tanzania Kwanini wafanyakazi wa Serikalini wanatoka sa 9:30?

    Nilisikia wanasema kwa imani mtu atafanya kazi kwa vizur na kwa umakini Zaid kwa huo mda masaa name na kuanzia hapo Akili inakua imechoka kwa kiasi utaanza uchovu na kukoSa umakini.
  2. TheOneNation

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo wake wanatakiwa kujua ili wa-enjoy na waume zao

    Huko Pm na kuendelea.
  3. TheOneNation

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo wake wanatakiwa kujua ili wa-enjoy na waume zao

    Kawe makini huko.
  4. TheOneNation

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo wake wanatakiwa kujua ili wa-enjoy na waume zao

    Unaonekana unapenda sana Mapenzi!
  5. TheOneNation

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wenu juu ya siri hii inayonitesa kwa muda mrefu

    Kivipi wanaweza mlea mtoto wao kwa pamoja kama Walishapanda mbegu ya mwenye ujauzito hana mawasiliano nae? Je ikitokea jamaa anafariki na kuna mali anaziacha ni mazingira gani anatengeneza kwa uyo dada na kwa damu yake? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. TheOneNation

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wenu juu ya siri hii inayonitesa kwa muda mrefu

    Kuwa muwazi mkuu kwani ukweli Utakufanya uwe Huru na mtoto kupata Haki zake kwako pasipo maficho tena. Nenda kwa wazee ambao wako karibu na hiyo Familia kwa pamoja mkubali Mlikosea(Ukilikoroga lazima ulinywe) na wao ndio watakaa na wazazi wenu na ndgu zenu kuwafahamisha ilo na hata mkiitwa...
  7. TheOneNation

    JamiiForums Tanzania Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Vp s6 Edge napata hii kitu? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. TheOneNation

    JamiiForums Tanzania Kimondo kikubwa kinachotarajia kupita karibu na Dunia. Hii ni kwa mujibu wa NASA

    Tutakufa wote kwa pamoja na Corona.
  9. TheOneNation

    JamiiForums Tanzania Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

    -lnnocent Defendant -Sensory Couple -Under Cover [emoji91][emoji91][emoji91] Sent using Jamii Forums mobile app
  10. TheOneNation

    JamiiForums Tanzania Kama simu yako ni original chora huu mstari

    __________________[emoji725]_________________ Sent using Jamii Forums mobile app
  11. TheOneNation

    JamiiForums Tanzania Top 5: Idadi ya watu wanaoishi Dar, wengi wao wanatoka mikoa hii ukiacha wenyeji

    Je Mbagara sio Dsm? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. TheOneNation

    JamiiForums Tanzania Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Hii kitu Nimelipia Elf 7 Ndipo imenikubalia! My phone is DOOGEE
Back
Top Bottom