Kwanini wafanyakazi wa Serikalini wanatoka sa 9:30?

BUFALO

JF-Expert Member
Jan 19, 2013
300
271
Habari wakuu

Hivi ni kwanini wafanyakazi wa Private sector wanatoka sa 11 alf wa serikalini wanatoka sa 9:30

Ni nini kinapelekea wafanyakzi waserikali wawahi kutoka?

Wanajanvi karibuni
 
Kwa mujibu wa sheria masaa ya kufanya kazi ni masaa 8 kwa siku. Hivyo Serikalini wanaingia saa 1.30 wanatoka saa 9.30 .

Private inategemea wanaingia saa ngapi, unashangaa hilo tu hushangai la private kwenda job hadi jumamosi!
 
Kwa mujibu wa sheria masaa ya kufanya kazi ni masaa 8 kwa wiki. Hivyo Serikalini wanaingia saa 1.30 wanatoka saa 9.30 .

Private inategemea wanaingia saa ngapi, unashangaa hilo tu hushangai la private kwenda job hadi jumamosi!
Masaa 8 kwa siku
 
Habari wakuu

Hivi ni kwanini wafanyakazi wa Private sector wanatoka sa 11 alf wa serikalini wanatoka sa 9:30

Ni nini kinapelekea wafanyakzi waserikali wawahi kutoka?

Wanajanvi karibuni
Kawaulize waalimu huko kama waliwahi kusikia kitu kinaitwa overtime.. Japo hapa hatuzungumzii mambo ya nights na overtime.
 
mimi naingia saa mbili asubuh kutoka saa kumi na mpja private hiyo.jumamos nusu siku.jumpli off.hiv hakunaga pakwenda kulalamika kuhusu hawa private katika kupanda utaraibu wa masaa ya kazi maana ni mateso makubwa snaaaa
 
Mimi naingia saa mbili asubuhi na ninatoka saa mbili-nne usiku kilasiku.
 
Suala la masaa ya kazi inategemea mwajir na Miongozo yake. Sheria imetoa tu minimum standards, haizui mtumishi kufanya kazi kwa masaa machache zaidi
 
Habari wakuu

Hivi ni kwanini wafanyakazi wa Private sector wanatoka sa 11 alf wa serikalini wanatoka sa 9:30

Ni nini kinapelekea wafanyakzi waserikali wawahi kutoka?

Wanajanvi karibuni
Standing order inasema ni masaa 45 kwa week
 
Kwa mujibu wa sheria za kazi,mwajiriwa anatakiwa kufanya kazi kwa masaa manane kwa siku au masaa yasiyozidi kumi na mbili kwa siku na masaa hayo yafanye jumla ya masaa yaisiyozidi 45 kwa wiki
 
Habari wakuu

Hivi ni kwanini wafanyakazi wa Private sector wanatoka sa 11 alf wa serikalini wanatoka sa 9:30

Ni nini kinapelekea wafanyakzi waserikali wawahi kutoka?

Wanajanvi karibuni

Nilisikia wanasema kwa imani mtu atafanya kazi kwa vizur na kwa umakini Zaid kwa huo mda masaa name na kuanzia hapo Akili inakua imechoka kwa kiasi utaanza uchovu na kukoSa umakini.
 
Habari wakuu

Hivi ni kwanini wafanyakazi wa Private sector wanatoka sa 11 alf wa serikalini wanatoka sa 9:30

Ni nini kinapelekea wafanyakzi waserikali wawahi kutoka?

Wanajanvi karibuni

Ni kwasababu hawatoki 10:30 mkuu
 
Habari wakuu

Hivi ni kwanini wafanyakazi wa Private sector wanatoka sa 11 alf wa serikalini wanatoka sa 9:30

Ni nini kinapelekea wafanyakzi waserikali wawahi kutoka?

Wanajanvi karibuni
Sio kweli mm nimfanya kazi serikalini sasa hivi muda huu saa mbili kasoro ndio natoka na saa moja kamili asubuh nipo job...nmazoea ya mtu na utaratibu tu wa kazi
 
Back
Top Bottom