Recent content by Theofrey Theofrey

  1. Theofrey Theofrey

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli miwa inayooteshwa pembeni ya bafu ina madhara yoyote?

    Je ni kweli miwa inayooteshwa pembeni ya bafu ina madhara yoyote?
  2. Theofrey Theofrey

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchezo wa sabuni unanitafuna taratibu, naomba msaada niache

    Zawadi kubwa ambayo unaweza kumpatia Mwanamke mzuri ni kumfikisha kileleni, yeye kwanza kabla yako. Akishafika kileleni mwanamke ndipo wewe Mwanaume unatakiwa ufuate. Ila unapowahi wewe mwanaume kufika haraka kileleni, kwanza lazima ujiskie aibu, pili unakua umemchafua tu Mwanamke wala hakuna...
  3. Theofrey Theofrey

    JamiiForums Tanzania Rais Samia asema fedha za korosho na ufuta hazijawabadilisha wananchi wa kusini, ataka wapewe elimu ya fedha badala ya ngoma kila kichochoro

    Pesa kule tunakula ulanzi na viazi choma akuna kufikilia kujenga ni muhimu elimu itilewe wadau
  4. Theofrey Theofrey

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Nimeshakoment kimoyomoyo 😆😆😆
  5. Theofrey Theofrey

    JamiiForums Tanzania Mpende kila mtu, mheshimu na jua ana mchango fulani kwenye maisha yako

    Dunia yote ni kitu kimoja, sisi binadamu ni kitu kimoja. Huu ndiyo ukweli ambao ukiuelewa na kuuishi kila wakati utakuwa na maisha bora. Tumekuwa tunaambiwa na jamii zetu, kwamba kundi letu ni bora kuliko la wengine, kwamba rangi yetu ni bora au asili na kabila letu ni bora kuliko nyingine...
Back
Top Bottom