Recent content by TheNewGuy

  1. T

    JamiiForums Tanzania Wadada acheni kupoteza rangi zenu nzuri

    [emoji23][emoji23] Hua napata huruma sana nikikutana na watu wa aina hiyo. Nikiona tu vidole vya mikono viko kama vimevikwa ngozi ya pundamilia roho inavurugika kabisa.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Majina mnayowapa watoto muwe mnafanya utafiti kwasababu yanabeba nguvu kubwa kwenye maisha yake

    Nonsense Jina ni sauti ambayo watu hutumia wanapo kuhitaji, kiufupi jina halina maana yeyote katika maisha ya mtu tofauti na maana tajwa hapo mwanzo. Acha kupotosha watu.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Wadada acheni kupoteza rangi zenu nzuri

    Maskini! Kama viazi vya kuchoma, how can a person do this to oneself?
  4. T

    JamiiForums Tanzania Tamko kutoka shirika la ndege Tanzania ATCL baada ya picha za tairi za moja ya ndege zake kusambaa zikionekana kuchakaa...

    Wataalam wetu wanaotumika na serikali yetu washajiaribia reputation kwa kila mara kutoa taarifa zenye walakini. HAWAAMINIKI!!! Kulingana na maelezo yao hiyo ndege inamiezi 7 haijaruka, na hizo taili bado zina miruko 7.. NI NGUMU KUAMINI.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Chemsha bongo kwa wapenzi wa Fizikia (Physics)

    Kadiri chuma kitakavyokua kinaelekea katikati mwa dunia weight yake ndivyo itazidi kupungua, paka kufikia 0 when r=0, hakuna SHM hapo
  6. T

    JamiiForums Tanzania Chemsha bongo kwa wapenzi wa Fizikia (Physics)

    Unachokiuliza practically hakiwezekani. Ili kujibu swali lako inabidi ueleze unakusudia kugundua nini ili ufanye assumptions kueliminate baadhi ya factors. Kuna vitu hivi i, Geothermal gradient ii, Gravitation field iii, States of matter ( solid rocky crust, liquid mantle, and solid...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kumbe Wanawake wengi wasioitikia salamu sio kuwa hawasikii, ni dharau tu

    Alivyo andika tu inaonyesha how stupid she is.. What book? What cover?.. Kua binadamu pekee hakutoshi kumfanya mtu asalimiwe, au cover yake ilimwonyesha yeye ni mbuzi?
  8. T

    JamiiForums Tanzania Google Doodle wameuweka Mlima Kilimanjaro leo

    U can't fight natural forces. Over the years, dunia imepitia vipindi vya baridi kali (ice ages) na vipindi vya joto kali. Barafu unayoina sasa hasa south na north pole ni masalia ya kipindi cha mwisho cha ice age kilichoisha almost 10k years ago. Sasa tunaelekea kipindi cha joto kali. Binadamu...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Amenibadilikia kwa sababu simhudumii na sote ni wanafunzi tunatafuta maisha. Nifanye nini?

    i, Tafuta umpe anachotaka au. ii, Achana nae. Its that simple.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ada za shule zapanda sanjari na za kubrashia viatu barabarani

    Hivi kwa sababu nchi zilizoendelea maisha magumu basi nasi hatuna budi ku roll-over and take it?...Kuna watu watafanya udhalimu kwa utetezi wa kauli hiyo ulioandika. Kila nchi inajukumu la kulinda maslai ya wananchi wake, inchi ikishidwa kufanya majukumu yake basi sio nchi tena.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Huyu konda wa kike wa Ununio makumbusho kanikosha sana

    Mtu kaeleza starehe yake wewe unaleta habari za magonjwa[emoji3][emoji3], pengine furaha yake ni kuangalia uumbaji sasa hapo ukimwi ataupataje.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Huyu konda wa kike wa Ununio makumbusho kanikosha sana

    Ukimwi upo ndio, tena kila mahali. Sasa acha kuharibu starehe za watu.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Watoto wamshtaki mama yao ili awaoneshe baba yao, soma kesi ilivyoisha

    Mzazi wa watoto wa miaka 40 na 50 probably atakua na miaka 68 kwenda juu. Kwanini huyo bibi asingesema hana kumbukumbu ili mambo yaishe?[emoji3][emoji3] yaani umeishi miaka yote hiyo duniani alafu unahangaika na mtu ambae ni stranger. Miaka ya 40 kwenda juu ni muda wa kuishi vizuri na watu...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Unadhani kwanini vijana wanapenda sana kuajiriwa serikalini kuliko kampuni binafsi?

    Secta binafsi kuna nidhamu ya uoga, wanapenda serikalini ambako hawafuatiliwi[emoji41].
Back
Top Bottom