Majina mnayowapa watoto muwe mnafanya utafiti kwasababu yanabeba nguvu kubwa kwenye maisha yake

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,720
Hili suala sio ni uongo na kweli labda tu limegoma jina hilo kwenye kumpa.

Kuna majina ukimpa mtoto basi huko mbeleni utapokea unachokitafuta kwenye majina hayo.

Mfano majina ya kimila, kidini, kikabila, kizungu, kiarabu na na n.k

Leo nikajaribu kumchunguza jamaa Elon kwanini ana jina hili kwa kiufupi ni jina ilo watu wenye asili ya weusi wa kimarekani wanaliita Elon kama maana roho ila kwa wasraeli kutoka kwenye bibilia ni Mwaloni; shamba; nguvu.

Kwa waislamu mtoto akiitwa Muhamed ni jina lenye nguvu sana.

Sasa huku uswahili majina wanayowapa watoto: Zinduna, Yuda, Chausiku n.k

Mkipata watoto tafuta jina litakalobeba maisha yake
 
Waafrika Tunakosea hapa. Maana huwa Tunawapa Watoto majina kwa Kuangalia tu maana ya Jina bila Asili ya Hilo jina. Mtu anaweza kumpa jina Mtoto Kisa kaona Lina maana ya "Asante Mungu." Kumbe Hujui huyo Mungu anayesmwa kwenye hilo jina anaweza akawa ni aliyekuwa Anaabudiwa huko Roma Kipindi cha Emporer na Si Mungu unayemwabudu Wewe.

Majina Mengine yamebeba Laana. Mtu anaweza Kuitwa Jina Fulani. Kumbe Aliitwa hivyo kwa Sababu za Wizi ,Uzinzi,umalaya au Uchawi. wewe kisa hujui mana Yake unampachika Mtoto wako.
 
Ubarikiwe na ushaur huu ni mwema sana
Hili swala sio ni uongo na kweli labda tu limegoma jina hilo kwenye kumpa.

Kuna majina ukimpa mtoto basi huko mbeleni utapokea unachokitafuta kwenye majina hayo.

Mfano majina ya kimila,kidini,kikabila,kizungu,kiarabu na na n.k

Leo nikajaribu kumchunguza jamaa Elon kwa nini anajina hili kwa kiufupi ni jina ilo watu wenye asili ya weusi wa kimarekani wanaliita Elon kama maana roho.ila kwa wasraeli kutoka kwenye bibilia ni Mwaloni; shamba; nguvu.

kwa waislamu mtoto akiitwa muhamed ni jina lenye ngungu sana.

sasa huku uswahili majina wanayo wapa watoto:zinduna,yuda,chausiku,Yuda na n.k

mkipata watoto tafuta jina litakalo beba maisha yake
 
Hizi ni fikra duni sana. Jina halihusiani na uwezo wa akili ya mtu.

Umeoshwa ubongo kiasi cha kuamini majina yako ya asili ni sehemu ya laana.
 
Mimi ndio maana mwanangu nilimpa jina lenye maana ninayoijua mimi na Mungu wangu. Na nilimwambia Mungu hili jina limebeba utukufu wako... Hadi leo watu wananiuliza jina la mwanangu nililitoa wapi...

Over my dead body siwezi mruhusu mtu yeyote ampe jina mwanangu. Hata mke wangu ikitokea nimempa nafasi atoe jina kwa mtoto lazima aniambie kwa kirefu kwanini kachagua jina hilo, Lina maana gani, kalitoa wapi, Lina uhusiano na nani au nini...
 
Hili swala sio ni uongo na kweli labda tu limegoma jina hilo kwenye kumpa.

Kuna majina ukimpa mtoto basi huko mbeleni utapokea unachokitafuta kwenye majina hayo.

Mfano majina ya kimila,kidini,kikabila,kizungu,kiarabu na na n.k

Leo nikajaribu kumchunguza jamaa Elon kwa nini anajina hili kwa kiufupi ni jina ilo watu wenye asili ya weusi wa kimarekani wanaliita Elon kama maana roho.ila kwa wasraeli kutoka kwenye bibilia ni Mwaloni; shamba; nguvu.

kwa waislamu mtoto akiitwa muhamed ni jina lenye ngungu sana.

sasa huku uswahili majina wanayo wapa watoto:zinduna,yuda,chausiku,Yuda na n.k

mkipata watoto tafuta jina litakalo miongoni
Miongoni mwa majina makubwa yenye historia iliotukuka ni pamoja na YUDA yaani JUDE hii utofautishe na YUDA ESKARIOT.

Majina kama LULU, ISABELA, DIANA hayana historia nzuri kwenye vitabu vya dini
 
Hili suala sio ni uongo na kweli labda tu limegoma jina hilo kwenye kumpa.

Kuna majina ukimpa mtoto basi huko mbeleni utapokea unachokitafuta kwenye majina hayo.

Mfano majina ya kimila, kidini, kikabila, kizungu, kiarabu na na n.k

Leo nikajaribu kumchunguza jamaa Elon kwanini ana jina hili kwa kiufupi ni jina ilo watu wenye asili ya weusi wa kimarekani wanaliita Elon kama maana roho ila kwa wasraeli kutoka kwenye bibilia ni Mwaloni; shamba; nguvu.

Kwa waislamu mtoto akiitwa Muhamed ni jina lenye nguvu sana.

Sasa huku uswahili majina wanayowapa watoto: Zinduna, Yuda, Chausiku n.k

Mkipata watoto tafuta jina litakalobeba maisha yake
Kweli ni upuuzi, we fikiria mtu unampa mwanao jina la Mohammed wakati Mohammed alikuwa mbakaji na muuwaji au Daudi. Daudi naye alikuwa kama Mohammed, mbakaji na muuwaji.
 
Ishu kuu ni kwamba wanawake wengi wa kiafrica awajui malezi ya watoto, wengi wao uua destiny za watoto wao tangu wadogo, kupitia matusi, vipigo, kuwatamkia kauli chafu watoto, kuwatesa, kuwanyanyasa watoto. Hapa ndipo msingi wa uharibifu unapoingizwa kwenye laini ya maisha ya mtoto. Hata anapokuwa Mkubwa tayari zile laana alizonenewa utembea nae hadi ukubwani ni hadi tu apate neema ya kuzifuta yaani kuflash disc au kuiformat brain na kuingiza vitu vipya kwenye mind Ili kuweza kuondoa zile negativity zote.
 
Back
Top Bottom