Recent content by Then ok

  1. T

    JamiiForums Tanzania Utapiga kura mwaka huu?

    No comment
  2. T

    JamiiForums Tanzania Utapiga kura mwaka huu?

    Ahahahahaha, mkuu kwa mantiki hyo ata ambao hatutapiga bado zitahesabika zimepigwa kwa CCM au?
  3. T

    JamiiForums Tanzania Ugali maharage uliitwaje shuleni kwenu?

    Ngema
  4. T

    JamiiForums Tanzania Basi la Mwendokasi lanusurika kuwaka moto Morogoro road

    Na mimi kuna siku nimepanda mwendokasi kutoka gerezan kwenda kimara, kuna yale magari madogo ambayo wanatangaza ukipanda halishushi mpaka kimara, wao wanayaita bombadier wanaotumia usafiri huu wanajua, basi safari inaanza tu gari linatoa moshi mwingi sana mpaka watu walioko pembezoni mwa...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Math challenge

    Z=25
  6. T

    JamiiForums Tanzania Math challenge

    48
  7. T

    JamiiForums Tanzania Math challenge

    28
  8. T

    JamiiForums Tanzania Math challenge

    12
  9. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: 'Nipo tayari kunyongwa hadi kufa, siogopi' aisisitiza No reforms, No election iendelee

    Issue hapo sio yeye kuwa ngangari, issue ni kwamba wamempiga mchungaji ili kondoo watawanyike, muda atakaokuwa rumande kauli ya no reform inaweza kupotea kama wafuasi wake wasipokuwa na msimamo kama wake
  10. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Profesa Lipumba anadai hakutaka kuendelea na Uenyekiti baada ya miaka 25 ila wanachama walimlazimisha

    Hii nchi inawachekeshaji wengi sana adi maprofessa, nimecheka sana baada ya kusoma tu hii title
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kuna abiria kaleta zogo hapa anasema bila wao kuzima nyimbo za kidunia atashuka na wala nauli hataki kurudishiwa na wataiona hasira ya Mungu

    Mi najaribu kujiuliza hivi aliewambia hao wenye magari kuwa abiria wanataka mziki au movie ni nani, wengine tukiwa safarini tunataka utulivu mi naona bora wasiweke kitu chochote pakae kimya tu
  12. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wenu jamani

    Hii chai hii
  13. T

    JamiiForums Tanzania LHRC: Chalamila achuliwe hatua za kinidhamu kwa kauli ya kutweza utu wa Mwanamke

    Najaribu kujiuliza hivi Chalamila akitumbuliwa ndio gloves na vifaa vingine vitapatikana mahosptalini? hao LHRC waache unafiki
  14. T

    JamiiForums Tanzania Majina Mbalimbali ya Mungu

    Mkuu kitabu cha nabii Isaya 9:6 kinamtaja Yesu kuwa Mungu mwenye nguvu sasa sisi ni nani adi tukatae
Back
Top Bottom