Recent content by TheMirror

  1. TheMirror

    Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

    Wanawake wengi wanapenda wanaume wakimya na ambao ni urefu 5'10 na kuendelea! Mimi ni mkimya na nina nyota ya kupendwa sana na wanawake wa rika tofauti! Na wananipenda kimapenzi zaidi! Ningekuwa kiwembe ningewala sana ila siko hivyo!
  2. TheMirror

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mkikutana na city tegemeeni amawarudisha eneo lenu.
  3. TheMirror

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Wheeping boys!
  4. TheMirror

    Simba mbioni kuweka rekodi Afrika

    Hivi unajua kuwa wachezaji wa kutegemewa wa al ahly karibu 6 hawakuwepo jana?
  5. TheMirror

    Simba mbioni kuweka rekodi Afrika

    Congo ilitumika pakiti ya kondom moja kamili na pakiti ya pili walibakisha kondom moja. Jana hivyo hivyo,
  6. TheMirror

    Dunia haina usawa: Wakati Shule ya St. Francis Girls ikiwa na Div One za 7 zipatazo 41, Mkoa wa Kaskazini Unguja hauna Div One hata moja

    Watafute wale waliomaliza hao miaka ya nyuma leo wako wapi kimaisha? Isiwe fashion mtoto kupata alama za juu kqbisa ila anaenda potea huko mbele.
  7. TheMirror

    Kama Wachezaji wa Simba wataendelea kucheza 'Show Game', kwenye Makundi nje na kwenye ligi hawapati kitu

    Ni KIPANA. KIPANA kweli kweli ndio maana watu tofauti wanaingiza tu.
  8. TheMirror

    Kama Wachezaji wa Simba wataendelea kucheza 'Show Game', kwenye Makundi nje na kwenye ligi hawapati kitu

    Huyo tripple c anapambwa zaidi ya uwezo wake. Ni mchezaji wa kawaida sana.
  9. TheMirror

    Kama Wachezaji wa Simba wataendelea kucheza 'Show Game', kwenye Makundi nje na kwenye ligi hawapati kitu

    Hata kwa as vita walijkfanya kucheza kupasiana pasiana pasi zisizo na tija. Kilichotokea kila mtu anajua. Natabiri mabaya zaidi ya ya kongo kutokea huko misri.
  10. TheMirror

    SIMBA FC, Aibu mliyotupa leo mashabiki wenu bora hata kufungwa 10 na Al Ahly

    Simba hii sio nzuri kama haji manara anavyowalisha matango pori.
  11. TheMirror

    Mlionidhihaki na Kudai Mimi ni Yanga SC pale nilipotoa Angalizo la Kiufundi kuihusu Simba SC naomba na leo endeleeni Kunidhihaki tena!

    Tatizo pia hata 2akisajiliwa majembe, hawatapata upinzani ktk ligi ya bongo na mwisho wa siku watajikuja wamejirekebisha kuendana na kiwango cha bongo. Wakienda kimataifa vichapo ni pale pale. Ligi mbovu.
  12. TheMirror

    Stade des Martyrs, Congo: AS Vita Club 5 - 0 Simba SC

    Yaani ndio kilichowaua simba leo. Mabeki wanakaba kwa macho.
  13. TheMirror

    Stade des Martyrs, Congo: AS Vita Club 5 - 0 Simba SC

    3 - 0: first half. Bila shaka hawa jamaa wanatumia vumbi l kongo, aka MUNDENDE. kipindi cha kwamza wameshamaliza pakiti moja ya kondom.
Back
Top Bottom