Recent content by THEJEWDA

  1. T

    Picha: Jana nimekutana na jini kwa mara ya kwanza

    Jamaa kama anadrive left, so alivyompita ndo akaamua amfotoe kidogo tu. Hicho ni kioo cha nyuma
  2. T

    Msafara wa Magari ya Jeshi la Kenya ukielekea Bukoba kutoa msaada kwa wahanga wa tetemeko

    Nendeni Bk mkawajengee wale vikongwe majumba yao, mnasubiri kufanya Mazoezi ya maandamano tu
  3. T

    VPL: 17 January 2015 live updates

    Simba 1 - 1 ndanda
  4. T

    Fastjet tukumbukeni na Kigoma jamani!

    Na familia yako inakusifu saana, maana wewe ndo noma kwa ngeli, hongera saana.
  5. T

    NCCR MAGEUZI wako makini kuliko CHADEMA

    We kilaza nini,? unashauri watu kujiunga na NCCR wakati wewe mwenyewe una kiDUME wako, kajiunge kwanza nccr. BRAINLESS.
  6. T

    Zitto ashinda pingamizi dhidi ya CHADEMA, sasa Baraza Kuu kuamua uanachama wake

    Zitto naona unajitahidi kuiua chama, ndo maana CCM wamefurahi, hongera, je sasa umefurahi?
  7. T

    Kwanini Mbowe alikuwa anasita Zitto asifukuzwe ndani ya chama?

    mwanadiwani , xo unapendekeza nini, wananchi waikache chadema alafu wajiunge na chama gani, ebu toa fikra.
  8. T

    Tundu Lissu unasubiri nini Kujiuzulu? Umetudhalilisha

    Zitto must go, msaliti ogopa, na aking'ang'ania kubaki, basi tena hakuna ukombozi, huyu jamaa tamaaaa.
  9. T

    Dr.Slaa: Zitto anaweza kufukuzwa kabisa

    Hili la zitto liko wazi hata wenyeji wa mirembe wanalijua. Kwanini MAGAMBA wanamtetea sana? Kwanini MAGAMBA inawauma sana? ......NIMESTUKA.....
  10. T

    Dr.Slaa: Zitto anaweza kufukuzwa kabisa

    One thing we dont care in chadema is , "WHO IS WHO" we only care about constitution, Even if Dr. Slaa could be where Zitto in right now, we could just follow our const, Tanzanians lets wake up, time is up to be a fun of somebody, follow whats right, If zitto has done mistake, let the const...
  11. T

    Siku Manchester United iliposhushwa daraja

    Haina mbaya wadau,keep the thread alive till league iishe ndo tutajua mbivu na mbichi.
  12. T

    Pendekezo: CHADEMA muwasamehe Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo

    Nimepata jibu, Kumbe ndo maana wahusika wa mamilioni ya uswisi hawatajwi.
Back
Top Bottom