Recent content by TheImporter

  1. T

    JamiiForums Tanzania Gharama ya fundi kujenga msingi

    Wadau, naomba kujua makadilio ya gharama ya fundi kujenga msingi wa nyumba ya vyumba 4, kiwanja kina mtelemko kidogo. Thanks
  2. T

    JamiiForums Tanzania strong desire to have sex andi'm a virgin. what do i do?

    U need some serious prayers....talk to your pastor or pastor's wife immediately. Be strong. Don't let the devil take you down!
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa!!

    Kiwanja kwa ajili ya makazi chenye ukubwa mita 30 kwa 30 kinauzwa. Kipo eneo la Kibamba, Kibwegere. Bei ni TZS 8m, maelewano yapo. Anayehitaji, ani-pm namba ya simu tuwasiliane.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Presidents Kagame and Kikwete hold talks on the sidelines of the ICGLR Summit - Kampala

    Leo mkuu - hapa Kampala: Five regional leaders meet over Congo
  5. T

    JamiiForums Tanzania Je, wewe umefungua mlango kwa ajili YAKE?

    Kama hujafungua mlango kwa ajili ya YESU na unamaanisha kufanya hivyo. Sali sala hii na atabadilisha maisha yako. Ee Mungu wangu Mtakatifu. Nimesikia neno lako nami nimeamini. Naomba unisamehe dhambi zangu zote nilizokukosea katika maisha yangu yote. Damu ya Yesu Kristo iliyomwagika kwa ajili...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mshahara ngazi ya PGSS 17-18 ni shillingi ngapi?

    Kiasi gani??
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mshahara ngazi ya PGSS 17-18 ni shillingi ngapi?

    Wadau naomba details kwa anayejua mshahara ngazi ya PGSS 17-18 ni kiasi gani.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi ya IT

    Nina mtu wangu anatafuta kazi ya IT, ana experience ya miaka 3 na elimu yake ni advanced diploma in Computer Science ila sasa amehamia Dar baada ya kupata makazi ya kudumu. Naomba wana JF msaada wenu.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Precision Air - Cancellations/Delays zimezidi

    Hii airline inaelekea kubaya esp. ukiangalia competition inayoingia nchini kwenye industry. Cancellations na delays zimezidi tena taarifa hazitolewi muda wa kutosha (say 3 or 4 hours) kabla ya safari ili watu wajue na kupangilia mambo yao vizuri. Kwa mfano leo, kuna ndege ambayo ilitakiwa...
  10. T

    JamiiForums Tanzania iPhone 4s inauzwa

    Post pictures nidhaminishe.
  11. T

    JamiiForums Tanzania CRDB na fees zao...!?

    Exim bank na NMB bank charges ziko chini sana, tatizo NMB - foleni and Exim - sometimes ATM zinazingua.
  12. T

    JamiiForums Tanzania NEW Toyota Corolla Fielder straight from Japan FOR SALE

    Color: Silver
  13. T

    JamiiForums Tanzania NEW Toyota Corolla Fielder straight from Japan FOR SALE

    Details of this vehicle Year: 2001 Capacity: 1490cc Kms: 24162 (low mileage) Will arrive in Dar port on 10 March 2012 Offer price is Tshs 14m - no room for negotiation. Please send me your contact if and only if you're serious buyer.
Back
Top Bottom