Mshahara ngazi ya PGSS 17-18 ni shillingi ngapi?

Mshahara ngazi ya PGSS 17-18 ni shillingi ngapi?

vijana wa dot.com mna matatizo sana. hata usahili hujaitwa unaulizia pesa. fanya kazi kwanza hata kama ni kwa kujitolea pesa zitakuja.
 
vijana wa dot.com mna matatizo sana. hata usahili hujaitwa unaulizia pesa. fanya kazi kwanza hata kama ni kwa kujitolea pesa zitakuja.
za kujitolea zenyewe ni ishu mfano nimeenda wizara fulani leo nikaonana na afsa utumishi nikamwambia mi nacheki internship tuu ila kaniambia kijana hatuna sera hiyo hapa kwetu na ukisikiwa watakufukuza hapa ofisini,,,, just imagine
 
Back
Top Bottom