Kuna raha ya kuitwa baba, lakini pia kuwa na watoto ambao kila kunapokucha unapambania furaha yao.
Nawaza tu unapokuwa baba unayejali na kuipenda familia, especially watoto, linapotokea jambo kama lako unakuwaje ki akili.
Kama ni baba unayependa watoto wako, sasa hivi kuna wanasheria wengi tu...
1. Naombeni kujuzwa, hivi kwenye Hotuba za viongozi wa nchi hii ni lazima kutaja majina ya wakuu wote waliohudhuria??
2. Hivi Hotuba si zinapaswa kuendana na tukio lililokusanya hadhira? Leo ni sikukuu ya wakulima, why mtu anachukua muda mwingi kuongea yaliyo nje ya sherehe?
3. Na mwisho...
Umeeleza vizuri sana. Watu watakutukana ila ukweli utabaki kuwa ukweli. Chukueni huo ushauri aliotoa mleta Uzi.
Tatizo hili kwenye jamii yetu ni kubwa kuliko mnavyolisoma hapa. Na linazidi kuwa baya zaidi kutokana na jamii zetu kutotafuta namna nzuri ya kupambana nalo.
Tatizo limezidi zaidi...
Hakuna mwenye wasifu kamili wa huyu dada. Ni nani? alitakatisha ngapi na how? kakwepa kodi gani? Historia yoyote inayomhusu kwa kina.... Tuweze kumfahamu tafadhali
Nyie Waamerika na wa EU..... yale manyaraka yenu mliotoa ni kuwa mnataka tuwe tunafanyiwa hivi wazi wazi???... sasa mbona haitakuwa tamu. Tuacheni hivi hivi tuwe tunajiiba ndo inakuwa tamu jamani..... aaahhhh nimemis hii kitu.
MJIBUNI MWANDISHI WA MAKALA KWA LUGHA ALIYOTUMIA. WEWE UNASALIMIWA KWA LUGHA YA KIHAYA UNAITIKIAJE KWA LUGHA YA KICHAGA? SOMO LAKO LA BURE BAKI NALO. NINACHOELEWA UMEELEWA UJUMBE. SARUFI NI KAMA NITAKUJA KWAKO KUFANYA MTIHANI....
THE PROBLEM IS NUCKY THOMPSON WROTE IN ENGLISH AND YOU GUYS REPLY HIM / SHE IN SWAHILI...... YOU CAN'T GET REPLIES TO WHAT YOU GUYS ASK / COMMENT. THATS WHY HE / SHE IS SILENT.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.