Recent content by thegeniustzda

  1. thegeniustzda

    Msaada kufunguliwa kwa namba yangu kutumia WhatsApp business

    mm nafikiri kuna error kwenye whatsapp ase sio kawaida kitu kama hichi mm whatsapp ya pili wamebanned na sijafanya kosa
  2. thegeniustzda

    Heshima Kwake Kwissa (Mzee Mkavu)

    Mwana labda vipindi kama ICU\ SHILAWADU unaweza mchukilia poa Kwissa(kamanda mzee mkavu) kuwa si lolote ni mbea tu wa mjini Ila ukweli utabaki kuwa jamaa ni mwanzilishi wa vipindi vingi vikubwa vya TV nchini, vipindi vya zamani na vipya Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
  3. thegeniustzda

    Wanaume tuliowahi kutongozwa tujuane

    Alitoaje paswedi zako hii chai mkuu ila umeibania sukari
  4. thegeniustzda

    Njia ambazo mtu anaweza kutengeneza pesa mtandaoni bila mtaji

    Nilichoelewa hapa yani mtoaji mada na wachangia hakuna mwenye uelewa mpana juu ya hizi mambo za mtandaoni
  5. thegeniustzda

    UTAPELI WA FOREX: Francisco Magnetics adaiwa kuhama nchi, anadaiwa pesa nyingi. Polisi wamsaka!

    Nafundisha fx kwa Siku moja tu unaelewa unaanza kudownload mapesa njoo DM
  6. thegeniustzda

    James Mbatia mwanasiasa wa ovyo kutoka Tanzania, miaka zaidi ya kumi kwenye game unawaza kuwa chama kikuu cha upinzani?

    Sema wewe sio watanzania acha kutuunganisha kwenye mambo ya ajabu ajabu
  7. thegeniustzda

    Paypal, Webmoney, Paxum, ePayments. NJIA IPI INATOA PESA TANZANIA???

    Zote ila trick kidogo inahitajika Sent using Jamii Forums mobile app
  8. thegeniustzda

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    finally we get it!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  9. thegeniustzda

    Namna ya kuchangia faini ya Tsh. Milioni 350 waliyohukumiwa kulipa Viongozi wa CHADEMA

    Well Said Sent using Jamii Forums mobile app
  10. thegeniustzda

    Mbatia awashukia CHADEMA, adai ni wabinafsi na wasiojua historia ya mageuzi nchini! Adai wakiendelea kumwita msaliti atamwaga siri zao

    Ebhana Ehh : Picha na Maelezo kama vinavyoonekana kwa huyu msaliti hapa naona anazidi kujilamba lamba na ccm ameshajua fika hata vunjo hawamtaki anakula mshahara wa bure na kusinzia tu bungeni ikumbukwe mwaka 2018 wananchi wa vunjo wenyewe walichanga billion2 kwa ajili ya kurekebisha barabara...
  11. thegeniustzda

    James Mbatia: Tufanye siasa za kushindana kwa hoja sio matusi

    NIMEFURAHI SANA LEO BAADA YA MBATIA JUZI KUANZA KUMLAMBA LAMBA RAIS+ MIGUU LEO HII AMEZUILIWA MKUTANO WAKE LIVE LIVE BILA CHENGA
  12. thegeniustzda

    James Mbatia: Tufanye siasa za kushindana kwa hoja sio matusi

    Mikutano imezuiwa kwa mwanasiasa kwenda kuhutubia nje ya jimbo lake ila kuwahutubia wananchi wake haijazuiwa mzee Sent using Jamii Forums mobile app
  13. thegeniustzda

    James Mbatia: Tufanye siasa za kushindana kwa hoja sio matusi

    Huyu ni mbunge wangu wa vunjo ila mwaka huu kura za wananchi wake atazisikia kwenye bomba yupo kama hayupo tokea ashike madaraka hakuna alilolifanya na hata mkutano jimboni kwake kuongea na wananchi ameshindwa kufanya sitarudia makosa 2o2o Sent using Jamii Forums mobile app
  14. thegeniustzda

    Nina kinyongo muda mrefu sana moyoni, natamani kukitoa lakini sijui nifanyeje

    Samehe uende mbinguni pili acha kutukuza lugha ya Mzungu penda lugha yako kuwa mzalendo Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom