Recent content by Thefuture1

  1. T

    JamiiForums Tanzania Story: Ulitenda mema na kulipwa mabaya please share

    Pole Ila punguza udictatar.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Story: Ulitenda mema na kulipwa mabaya please share

    Yaani Watu Tunaumiza Vichwa Kwenye Kusaka Kazi Wengene Wanachezea.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Story: Ulitenda mema na kulipwa mabaya please share

    Ubaya Ubaya.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Story: Ulitenda mema na kulipwa mabaya please share

    Nilitegemea Jibu Kama ili Kutoka kwa Mwanamke anayejitambua how come Unampokea Mtu Wa Ivyo .
  5. T

    JamiiForums Tanzania Story: Ulitenda mema na kulipwa mabaya please share

    Pole Na Hongera Kwa Moyo Wa kusaidia Wengine, Vijana Wanakosa Nidhamu Wanafanya Wengine Washindwe Kusaidika. Nikuombe tuu usife Moyo Maana Kuna Vijana Bado Wanaitaji Msaada Wako. Keep it Up.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Story: Ulitenda mema na kulipwa mabaya please share

    Pole Mkuu Ila Nimejifunza Kitu Asante Kwa Kushare.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Hivi kumiliki 10m mtu unaweza kujiita milionea kweli?

    Kila Ndio Kaamua kujiita ivyo Ni yeye na utajiri Ni vile Mtu unaamua Kujipima Mwenyewe. Ndio Maana anajiita Maana wewe umkubari .
  8. T

    JamiiForums Tanzania Unaweza kujifunza kitu kupitia mimi

    I Wish Ningesoma Uzi Huu Nikiwa Na Mdogo Wangu Ila Lazima nimtumie link....Asante mleta mada.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Unaweza kujifunza kitu kupitia mimi

    Kwa Kweli Kaka Watu Wa Ivyo Maisha Yajawai Kuwa Magumu Kwao Kikubwa Kujiamini.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kwa wahitimu wa vyuo vikuu mbalimbali 2019

    Nenda ofisini
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kwa wahitimu wa vyuo vikuu mbalimbali 2019

    Nenda TaESA hakuna Kada Ambayo hawawezi kuishughulikia nao.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kwa wahitimu wa vyuo vikuu mbalimbali 2019

    Habari wanajamii, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Kwa kuanza niwape hongera wahitimu wa kada mbalimbali kwa kuzingatia changamoto za ajira zinazoikabili nchi yetu na dunia kwa ujumla vijana mliohitimu masomo ni wakati sasa wa kuanza safari ya ajira hivyo basi ni vizuri mkapeleka...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Vibarua na wasio vibarua, wote tukutane hapa

    Habari Ndugu hivyo vibarua vya tazara na Tbl unapataje na bado vipo?
  14. T

    JamiiForums Tanzania Ni biashara gani ndugu zangu inaweza kuniingizia elfu saba kwa siku?

    Msaada unaweza kuolozesha bmahali minada inapokusa Asante Controla mchanganuo mzuri Sana shida Vijana Wengi tunapenda biashara Zenye reputation kwa Watu.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Ni biashara gani ndugu zangu inaweza kuniingizia elfu saba kwa siku?

    Kwa kweli mchaichai deal mtaani
Back
Top Bottom