Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,770
- 10,654
Wapi apate bodaboda ya laki mbili?!
!
Nunua Bodaboda
Wapi apate bodaboda ya laki mbili?!
!
Nunua Bodaboda
Biashara biashara..chamoto haswa
Tatizo letu kubwa hua hatui na taarifa sahihi tunapofanya maamuzi hasa ya kwenye kilimo , hapo tu...ukiwa na elimu sahihi na taarifa sahihi, tayari uko nusu ya safari, hata maamuz utakayofanya hayawi sawa na kubeti, una uhakika % fulani, umeacha unajua n kwann umeacha, ama ukiingia shamba unakua unajua fika na uko aware na unachoenda fanya
Mkuu soko letu la kilimo halina utafiti, linabadilika dakika moja. Hebu toa mfano halisi wa kufanya utafiti wa soko then ndio uuze. Labda kuna sehemu tunafeli.
Mfano
Unafanya utafiti wa Tangawizi unakuta bei nzuri Nairobi, Unalima mara Serekali imekataza kuuza Kenya. Hasara
Umeanalyse vizuri mkuuWatu wa ajabu sana! Elf 8 au 7 kwa siku, Mtaji shilingi 2,400,000..
Hizi ni akili za kilemavu..
Muuza mishikaki anauza stick 100 kwa siku..
Bei ya stick moja ni 200.
Jiko ananunua 25,000
Nyavu 3000
Chumvi 500
Pilipili 1000.
Stick moja ya chuma 200.
Nyama 7,000.
Na anapata 20,000 kwa siku..
Ukitoa matumizi anabaki na 10,000 faida... Anazidi hiyo bodaboda kwa mtaji wa 40,0000 tu...
Aya tuje kwenye mayai ya kuchemsha.
Trei 6,500
Mkaa 1,000
Maji ya kuchemshia 100.
Chumvi 500.
Kwa uuzaji wa kutembeza mtu kiwango cha chini huuza trei 3mpaka 4 kwa siku..
Bei ya kuuzia 400.
Mapato kw trei 1 = 9,600
9,600×4= 38,400.
Mtaji 15,000
Faida 23,400...
Ukimlipa kijana 7000 au hata 10,000
Wewe unabaki 16,000-13,000..
Si faida ya pikipiki mbili hizo, na haiitaji service..
Cha ajabu, Mtaji haufiki 30,000... Mara 90% ya samani ya pikipiki na stress juu...
Kama na wewe unao mchanguo mwingine weka chini.. karibu..
Hii mm nabisha!mie had wataalam w humu kina kilimo maarifa...kila dawa walikuwa wanashauri wenyewe..tikiti likatoka zuriii...sokoni sasa!unakutana na fuso 12!jana nimeenda sokoni nikakita fuso km 8zinashusha kabeji..na huku miaka mi5 nyuma kabeji y kiangazi hukosi faida 1.3m!..sio kutatget season wala soko...mambo yamebadilika tu!
Uliwah sikia soko la maharage limeyumba? hasa Haya ya njano yanayotoka arusha ? Si miaka yote bei hua inapanda tu...? Umewah sikia limeyumba ??Nakubaliana na ww mkuu!hatuna stable market bado!kumbuka miaka ya hapo juu kidg kitunguu cha feb..subiria mwakani km kitunguu kitakuwa hot hakuna..ikizid saaana 1800@kg!
Uliwah sikia soko la maharage limeyumba? hasa Haya ya njano yanayotoka arusha ? Si miaka yote bei hua inapanda tu...? Umewah sikia limeyumba ??
Wala hujabisha, umeunga tu mkono sema hujajua, ukifanya utafiti wako si lazima utakua na conclution ambayo itakusaidia kufanya informed choices sio ?
Kiwepes tu you can easily see matitiki haikua biashara ya kuingia , ilisha haribika tayari..so unaenda kwenye wazo jingine
Huo n mfano wa stable market na nyingine nyingi tu....shida ya haya mazao ya aina hii, haya promise ile get reach qucky ndio maana hayavamiwi hovyo hovyo...na yatadumu hvyo hvyo..gunia moja kwa hapa dsm linaweza gonga 280k au hata zaid.. Ila kwenye heka zinatoka gunia 5 mpaka 8..faida ipo ila sio ile super profit.. Kuna karanga ulitaja... Viazi piaHapana!sijawah sikia limeyumba..!
Sio kwa tikiti tu best..wakulima wa njombe wnaakumbuka sana ishu za tangawizi ...ilivyporomoka ghafla kuja chini mno!mifano ni mingi tu
Kwenye hz biashara... Ukishaona tu kila mtu anatia mguu hapo..sio sehemu salama tena, litaharibika tu, mtazalisha kuliko uwezo wa soko hence linaharibika ... Research muhimu ..muhim mno
Hahahaha pesa mama pesa.. Mtu anaona gap la kupiga mshinda ...without knowing jiran yake nae hivyo hvyo na mwingine hvyo hvyoN ndo shida ya wabongo!kuigana!
Kwa kweli mchaichai deal mtaaniHii inaeeza kulipa.Mimi bina eneo huku Goms kama ekari 1 akina mama wameniambia nipande mchaichai watakuja chuma nina kisima
😅😅!aiseeKwa kweli mchaichai deal mtaani
Viatu vya mtumba vya wanawake hivi vinapendwa kweli?Hii biashara iko vizuri best yangu anafanya hii anasifia inalipa kiasi
Mwaga hapa mawasiliano ya hao wauza mitandioS
kumbe umejipanga, kuna mdau kasema uende karume uchukue viatu vya mtumba vya wadada kwa elf50 tu
Pia kuna jamaa yangu ye anauza mitandio ya wadada na baadhi ya nguo kwa buku mbili tu, ye anadai mtaji wake ni elf20 na anapata faida elf 50 hadi 70 kwa week, maana yake kila vikiisha anaenda kuchukua mzigo wa elf 20 kisha anatembeza mitaani, huyu nafanya nae kazi maana kuna mingine huwa anatuletea kazini tunanunulia wake zetu
Mzigo anachukulia tandika pale anasema ili upate bidhaa nzuri unapaswa kuwahi saa kumi na mbili kuna duka analochukulia mzigo naweza kukupatia mawasiliano yake akakupa mwongozo
Msaada unaweza kuolozesha bmahali minada inapokusaNenda maduka ya jumla ya vipodozi vile vya kawaida
Yaani vya bei ya chini
Mafuta ya nazi mnara,
Sabuni za magadi
Mafuta ya nywele na ngozi yale ya 1500
Henna
Chanuo
Vibanio
Sabuni kama family ,mo za kuogea
Zungusha kwenye minada
Dar es salaaam kuna minada siku saba za wiki
Asante Controla mchanganuo mzuri Sana shida Vijana Wengi tunapenda biashara Zenye reputation kwa Watu.2.Uza chipsi kwa wanafunzi
Nimesema chipsi si kwamba mihogo haina faida ila chipsi inafaida mara 5 ya mihogo,kwa mtaji wako utapata mahitaji yote muhimu ya kuanza na hela yakuweka kwenye kibubu itabaki.
mahitaji:
viazi ndoo kubwa @ 25,000
karai la kukaangia @15,000
kuni @10,000 (usitumie mkaa wala gesi hapa ni mwendo wa kuni)
jalo/jaro @5000
visosi/sahani @ 20,000
Meza ya mbao @ 25,000
deli la kuwekea hizo chips @5000
vitu vingine vdg vdg @25,000
anza zako kuuza chips kwa kuanzia 300,500 nakuendelea
faida usipochezea 30,000 kwenda mbele njoo rudi hapa niambie
siku umekosa kosa kabisa hapo watoto hawajaja shule ndo utapata faida aloisema sauda 7000-10000
Tahadhari:
Hii biashara usikae lelemama maana ni biashara ya msimu flani hivi,shule zikifungwa itabdi uwe unajua chakufanya
jumamosi na jumapili unatakiwa pia ujue chakufanya (akili yako isilale)
Utajenga,utasomesha,utaendesha kwa biashara hiii.