Recent content by TheConcious Negro

  1. TheConcious Negro

    JamiiForums Tanzania Clement mzize, sio level ya kucheza yanga.

    Soccer mdomoni. Tukupe namba wewe uperform
  2. TheConcious Negro

    JamiiForums Tanzania Naogopa Kuoa Dar

    Wa kuja ndo wanapapatika wanatobolewa mpaka akili zikiwakaa sawa unakuta milango yote iko wazi. Wenyeji washenzi wapo ila wanaoficha papuchi pia wapo. Ila wa kuja wanachezea chuma balaa. Vijana hawalazi damu
  3. TheConcious Negro

    JamiiForums Tanzania Vichaa huona nini?

    Ukipata kichaa kwenye ukoo wako utaacha kuwacheka hawa jamaa. Inaumiza sana hii
  4. TheConcious Negro

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata laini za simu 50 kwa mtandao mmoja?

    Fafanua hii
  5. TheConcious Negro

    JamiiForums Tanzania Sitosahau nilivyokutana na Jini usiku

    Acha bangi bro
  6. TheConcious Negro

    JamiiForums Tanzania Kupata msaada juu ya matatizo ya kiakili....

    Nenda kwa mwamposa utagundua wew ni mzima tu
  7. TheConcious Negro

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujua dini ya Kiafrika, nijiunge nayo

    Dini ni suala mtambuka
  8. TheConcious Negro

    JamiiForums Tanzania EATV wazidi kuleta uchochezi wa kidini TCRA mko wapi? Hili tangazo litolewe na waombe radhi wakristo

    Hata wachungaji wa watu nao waitwe wa ng'ombe. Maana waumini nao siwaelewi elewi
  9. TheConcious Negro

    JamiiForums Tanzania Adhabu za wanajeshi

    Mtoto wa kiume katika harakati za hapa na pale ni muhimu ukutane na wajomba ujifunze jambo.
  10. TheConcious Negro

    JamiiForums Tanzania Mnaopokea salary take home chini ya milioni moja, huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?

    Monthly shit ni utumwa . *** off!!
Back
Top Bottom