Recent content by theboygamba

  1. theboygamba

    JamiiForums Tanzania Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

    Mkuu umenipa njia nzuri sana nashukulu sana kwa moyo wako naomba ningepata unisaidie kunipa namba hata mtu mjo ambaye anaweza nisaidia kueafikia madalali wa urangin bro unipe uwenyeji kidgo nataka kufanya no w bro
  2. theboygamba

    JamiiForums Tanzania Biashara tofauti za kuniingizia 50,000/= kwa siku

    Kiukweli umeongea kitu nimejifunza jamba sio tunataka faida fulan lazma tujue tunauza shingapi kwasiku
  3. theboygamba

    JamiiForums Tanzania Ni tabia gani ambazo, mtoto wako wa kumzaa hautaki azifuate ama kuzirithi?

    Hahahahahah umenifulaisha mzee hata mm naogopa kuwapa story zang
  4. theboygamba

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

    Maana angaonge kwa sabbu hujui labda leteni orio ndo mfungwa mtarajiwa maana anadhalilisha jeshi kwa uong anaoongea hapo
  5. theboygamba

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

    Jaman shahid amesema mbowe ni mweusi mlioko hapo karb na mbowe tuambieni saiv amekuwa mweusi
  6. theboygamba

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

    Hiyo lugha haitutoki kabxa kama vp arudi tena kuandika ujumbe
  7. theboygamba

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

    Hat nimefatilia naona hii mission illipangwa ndo maan wameomba wakasome tena ili wajipange
  8. theboygamba

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

    Kam anawamaliza mbona kagoma kujbu maswali anasingizia kiapo chajeshi na hapo bado maswali mengi maana kayaganyaga
  9. theboygamba

    JamiiForums Tanzania Hivi UKIMWI upo kweli kwa wasanii wetu wa Bongo Movie na Bongo Flavor?

    Mbona wengi wanaupta hiv sana sema tu wanazingatia dawa kwa wakt sana ndo maana inaonekana wao hawapat lkn weng wana pata hiv sema wanazingatia dawa san
  10. theboygamba

    JamiiForums Tanzania Hivi UKIMWI upo kweli kwa wasanii wetu wa Bongo Movie na Bongo Flavor?

    Ukimwi wa kichawi ndo upi mbona unatuchanganya sana
  11. theboygamba

    JamiiForums Tanzania Kagera Sugar 1 - 0 Simba SC | Ligi kuu bara | Kaitaba

    Tatzo hawa simba wanataka ufundi waki shabiki wanataka point 3 mhmu bac ufundi n mazoezini tu
Back
Top Bottom