Ni tabia gani ambazo, mtoto wako wa kumzaa hautaki azifuate ama kuzirithi?

Ninaelewa kila binadamu hajaumbwa akakamilika.

Tunakuwa na tabia flani flani, za kuzaliwa nazo zingine ni za kuiga kutoka katika jamii inayotuzunguka.

Je wewe mwana jamvi, ni tabia zako gani ambazo kamwe haupendi zifanywe ama ziigwe na mwanao na ukimuona akifanya, unamfokea ama kumuadhibu ili asiendelee nazo?

Uzi tayari
Mkuu mwenyewe una tabia gani mbaya ambazo hupendi mwanao aige?
 
Mkuu mwenyewe una tabia gani mbaya ambazo hupendi mwanao aige?
Napenda sana wana....!

Sa'sipendi kabisa mtoto wangu afuate mkumbo huu.

Sikai na ela mkuu, nahonga pakubwa kuliko nachokula.

Kila nikitaka kustaafu nashindwa na dawa ya kuacha sijui.
 
Ninaelewa kila binadamu hajaumbwa akakamilika.

Tunakuwa na tabia flani flani, za kuzaliwa nazo zingine ni za kuiga kutoka katika jamii inayotuzunguka.

Je wewe mwana jamvi, ni tabia zako gani ambazo kamwe haupendi zifanywe ama ziigwe na mwanao na ukimuona akifanya, unamfokea ama kumuadhibu ili asiendelee nazo?

Uzi tayari
Tombling tombling na nywajizi aka ulevi, ngada.
 
WAKUU.. yaani ni tabia MBAYA zote wakuu japo haiwezekani ila tabia mbaya ni tabia mbaya tu haipendezi mwanao awe na sifa mbaya.. aaa malezi kipengele jamani
 
Hata sijui natakaje, nitawaombea tu.

Ningewaombea akili manake ni kubwa sana na zipo vizuri lakini si nikaja kuziharibu na kijiti?

Sometimes zipo sometimes NO.

Kijiti? Hii kijiti ya JOYSTICK?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom