Tafakari Binafsi
Kitendo cha kuwaacha wachezaji baada ya dirisha dogo kufungwa sio kizuri Kwa wachezaji na Kwa maendeleo ya soka letu especially wachezaji wazawa.
Mchezaji anayesajiliwa na timu kama Simba na Yanga ni mchezaji wa Hali ya juu au Kati ila mazingira yanaweza kuchangia asifanye...
Tafakari Binafsi
Kitendo cha kuwaacha wachezaji baada ya dirisha dogo kufungwa sio kizuri Kwa wachezaji na Kwa maendeleo ya soka letu especially wachezaji wazawa.
Mchezaji anayesajiliwa na timu kama Simba na Yanga ni mchezaji wa Hali ya juu au Kati ila mazingira yanaweza kuchangia asifanye...
Niliposomea Graphics Design lile Neno linasomeka hivi,
"TVisit Tanzania"
Na
Sio
Visit Tanzania [emoji1
241]
[emoji846]
Wataalam wenzangu wa IT Njooni tuwaelimishe hawa Graphics Designers wa Makolo Fc
Shaban Kaoneka Hajui wanaoteseka wengi mtaani ni Wasomi kuliko Wasiosoma......!!Asimshangae Mandonga kupata madili mengi na bado alipigwa. This is Life[emoji419]
Nimefanya Tathmini zangu mwenyewe nimekuja kugundua kuwa Vijana wengi wa Kike na Kiume wa zama hizi hawana kabisa Elimu ya Ndoa na Ujenzi wa Familia zao...Haraka haraka hii Teknolojia imetuharibia vijana wetu sana. Kuna namna kama wazazi tunatakiwa kufanya kwa watoto wetu wa Kike na wa Kiume ili...
Ukitegemea sana WAZAZI utajutia pale tu watakapokufa!! Kuna mambo unatakiwa ufanye Mwenyewe bila kumtegemea Mtu ili ujue kusimama mwenyewe!!
[emoji117]Umuhimu wa Mzazi kwako ni Mkubwa sana ila jifunze Kusimama mwenyewe kuna leo na Kesho kumbuka[emoji120]
Yaan wanatulia sana kwanza waoga ku cheat kama huyu wangu yaan akianza tu hata kuchat na mtu nisiemjua usiku nikimkaza ananambia, 'chukua simu yangu kuna mwanaume ananisumbua mwambie anikome'
Kuna rafiki yangu alikuwa kwenye chumba cha Hotel moja hivi hapa mjini DSM, Alimwambia muhudumu wa ile hotel na kumuomba kuwa amletee dada poa na anayejiuza aje kulala naye hawezi kulala mwenyewe pale.
Baada ya dakika 30 Muhudumu alikuja na Mwanamke ambaye bila kujua kumbe alikuwa ni Mke wa...
Tusiokuwa na Ma Valentine tuendelee Kujifukiza, Kuvaa Barakoa [emoji40] na Kuepuka Mikusanyiko.....Asanteni kwa kunisikiliza![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2089]
Kwa wale ambao tunawachukua Ndugu zetu toka kijijini kwa nia ya kuwasaidia kupata Kibarua/Kazi huku mjini, tujitahidi kuwasaidia kweli wapate hicho tulichowaahidi.
Sio mtu unamtoa kijijini unamleta mjini unaanza kumtumikisha kinyume na makubaliano yenu. Sio vizuri hata kidogo tubadilike...
Siku moja nilituma text kwa njia ya kawaida nilikuwa namtumia mshkaji wangu wa kike. Msg ilikuwa mbaya yaani kiufupi haikuwa na heshima.
Bahati mbaya sana ile text ilienda kwa Wife na si unajua kwenye text kawaida hakuna "Delete for everyone" [emoji3]
Basi bhana baada ya kuona tu kuwa nimesha...
YAPO MAWILI MATATU YA KUJIFUNZA HAPA [emoji116]
Anaandika Goliath Mfalamagoha
_
Boniface Murage, mkazi wa Embakasi, Nairobi nchini Kenya, amekuwa gumzo katika vyombo vya habari Afrika Mashariki baada ya kukamatwa akijaribu kumtorosha mwanae Hospitali kwa kushindwa kulipia gharama za matibabu...
! MJINGA !
Mjinga akimaliza la saba anaanza biashara ya kuchoma mahindi halafu atauza miwa, atalima viazi huku akikatisha mkaa.
Baada ya miaka miwili mitatu ivi atafungua duka la nguo atasafiri kwenda Dar kufunga mzigo.... Kila hela atakayopata ataitunza kwa nidhamu kuu.
Wafanyabiashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.