thebosskissima
Member
- May 22, 2017
- 65
- 298
Tafakari Binafsi
Kitendo cha kuwaacha wachezaji baada ya dirisha dogo kufungwa sio kizuri Kwa wachezaji na Kwa maendeleo ya soka letu especially wachezaji wazawa.
Mchezaji anayesajiliwa na timu kama Simba na Yanga ni mchezaji wa Hali ya juu au Kati ila mazingira yanaweza kuchangia asifanye vizuri unapomuacha na dirisha la usajili limefungwa nini future ya huyu mchezaji hadi msimu wa usajili utakapifunguliwa tena?
Nashauri TFF ilifikirie hili na kuliangalia namna Bora ya kumuendeleza mchezaji