Recent content by THEBADDEST

  1. T

    JamiiForums Tanzania Uzi wa vyakula tu

    Pale karibu na shule pembeni ya lami?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Uzi wa vyakula tu

    Inapatikana wahi hichi chakula?
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri kuhusu Kozi nzuri ya kusoma

    Nahitaji ushauri wenu wakubwa
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri kuhusu Kozi nzuri ya kusoma

    Nimefaulu Chemistry, Biology na Geography form 4. Je, ni kozi gani nzuri naweza nikapata chuo. Note: Hesabu nimefeli
  5. T

    JamiiForums Tanzania Note 8 inazubaa internet

    Kweli kabisa watanzania wengi wanasimu fake za samsung
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais, Wizara ya Afya ni ka "Empire" ka Madaktari, Kuna "Mfumo Daktari" Ulioota Mizizi

    Yap madaktari naona wanapata shida sana kwenye kusoma na wanasoma kianka mingi mimj naona ni haki yao
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Pweza naomba uniunge kwenye group lako
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kabisa
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Asante mkuu sikuelewi basi hela yangu imeliwa kizembe tu kwa kutokuelewa
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huu mkeka nilieka mechi meccabi alvi ishinde nashangaa imekuja hivyo
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Oya wadau inakuwaje nimeshinda mechi halafu mkek unakuja lost .tatizo hili linatatuliwaje
  12. T

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    [emoji23][emoji23]
  13. T

    JamiiForums Tanzania Je muda sahihi wa kutumia pantoprazole 40mg tabs ni upi?

    Kwanza poleni na majukumu nimgependa kujua muda bora wa kutumia pantoprazol 40mg tab kwa ajili ya kuifanya ifanye kazi vizuri.je ni bora kula nusu saa kabla ya kula usiku au nusu saa kabla ya kula asubuhi..naombeni munisaidie maoni yenu yanamsaada mkubwa kwangu na kwa wengine
  14. T

    JamiiForums Tanzania Je, muda sahihi wa kula Pantoprazole 40mg tab ni upi?

    Kwanza poleni na majukumu nimgependa kujua muda bora wa kutumia pantoprazol 40mg tab kwa ajili ya kuifanya ifanye kazi vizuri.Je ni bora kula nusu saa kabla ya kula usiku au nusu saa kabla ya kula asubuhi. Naombeni munisaidie maoni yenu yanamsaada mkubwa kwangu na kwa wengine
Back
Top Bottom