Je, muda sahihi wa kula Pantoprazole 40mg tab ni upi?

THEBADDEST

JF-Expert Member
Dec 22, 2019
247
135
Kwanza poleni na majukumu nimgependa kujua muda bora wa kutumia pantoprazol 40mg tab kwa ajili ya kuifanya ifanye kazi vizuri.Je ni bora kula nusu saa kabla ya kula usiku au nusu saa kabla ya kula asubuhi.

Naombeni munisaidie maoni yenu yanamsaada mkubwa kwangu na kwa wengine
 
Back
Top Bottom