Recent content by the_forum

 1. the_forum

  Zingatia mambo haya ukiwa gerezani

  Killboy kijana wa Tabata ama!?
 2. the_forum

  Zingatia mambo haya ukiwa gerezani

  Mkuu habari ya siku nyingi!? Skuizi umeachia front seat kwa vijana sio!?
 3. the_forum

  Kwa umahiri mkubwa wa Makomandoo wetu ilikuwaje wale wa Kesi ya Mbowe wakateswa na Jeshi la Polisi kama walivyodai?

  Wew ni mpumbavu wa akili na ufaham wako umelala fofofo. Walikamatwa na police , kua komando ni pamoja na kujua kutii mamlaka ya serikali. Ndio maana hawakuweka resistance ktk kukamatwa. Wew ushatoka kuangalia muvi zako za kutafsiriwa unaleta uzi wa kiboya. Unauliza maswali unajijibu
 4. the_forum

  Dereva gari limemzidi uwezo, Leseni ichunguzwe

  Fasihi ingekua ni rahisi hivi na ujinga namna hii. Sidhani kama watu wangetajirika kupitia fasihi.
 5. the_forum

  Kwa hili tumwogope Mungu, tuvue Unafiki. Tumwombe Msamaha Magufuli

  Tuachane na mask na Covid. Wewe Condom umetumia lini mara ya mwisho!? Je unahisi UKIMWI upo au haupo!?
 6. the_forum

  JamiiForums Usiku wa manane

  kama hivi
 7. the_forum

  Tunaosubiri namba E tukutane hapa

  [emoji23][emoji23][emoji23]
 8. the_forum

  "Natamani kweli ila sina hela ya lodge baby" Hili jibu K sana yaani konki

  Yani unataka tuhangaikie hela ya lodge na unaona ni kheri tukope, alafu bado unataka tukae juu saa zima tukusubiri wewe ufike!?
 9. the_forum

  Utaratibu unaotaka mtumishi wa umma kubaki na walau moja ya tatu ya mshahara wake, haukufanyiwa utafiti wa kutosha na utaratibu huu umepitwa na wakati

  Afu pia huezi tetea hii hoja kwa kusema eti watu hawategemei mshahara tu, sasa kwanini usitumie hyo financial source ingine kuombea mkopo!?
 10. the_forum

  Utaratibu unaotaka mtumishi wa umma kubaki na walau moja ya tatu ya mshahara wake, haukufanyiwa utafiti wa kutosha na utaratibu huu umepitwa na wakati

  Hujaongea la maana, kama mshahara wako ni laki tatu lazima uishi maisha unayoweza kukidhi. Na ukikopa ni lazima uwe na mpango kazi wa kusurvive kwa 1/3 unayobaki nayo. Na hyo syo lazima ukatwe ibaki hyo. Mikopo ni hiari yako ila sasa serikali ndio ikasema hata kama ni hiari yako kukopa basi...
 11. the_forum

  Leo nimeaibika sana, roho inauma

  Duh msamiati mwingine tena mkuu
 12. the_forum

  Mchumba wa Jux, Jackie Cliff katoka jela China yuko bongo

  Umewahi kuwakamata mkuu!?
 13. the_forum

  Mchumba wa Jux, Jackie Cliff katoka jela China yuko bongo

  Hawezi pewa adhabu na serikali kwa kutuchafua kimataifa. Labda miaka michache tena hv. Mana hawa watu ndio wanaleta ugumu wa VISA ktk haya mataifa yetu.
 14. the_forum

  Je, kumuona Nabii Mussa wa Kimara ni Tsh. 100,000?

  Mkuu sasa huyo ni kuhani nabii au mtume!? Mbona umempa vyeo vyote. Kama ni hivo apewe tu hela anastahili
Top Bottom