Kwanini Mwalimu Nyerere alikuwa anavaa sare za Mgambo badala ya Jeshi la Wananchi?

Point sio kuachia nchi kwa hiari bali issue ni kwamba Nyerere alikuwa ni dikteta, sasa kukaa kwake miaka kibao madarakani na baadaye aliposoma alama za nyakati kisha akaamua asepe mapema sio kigezo cha kufuta udikteta wake kwenye uongozi wake.
Hata Mugabe watu walikuwa wanamshauri ajiondoe mapema kuepusha fedheha.
Mbowe anakaribia miaka ya Nyerere madarakani (24)
 
Mbowe anakaribia miaka ya Nyerere madarakani (24)
Ukweli huwa sikuelewi, hasa baada ya mabadiliko ya "awamu".
====
Kuhusu Mbowe, alisema hivi alipoingia JF

4. Nategemea hoja kadhaa zinazohusu Chadema na hata viongozi wake, zitaibuliwa. Ni lengo langu zijibiwe zote. Sisi kama chama hatuendeshi siasa za kificho na woga. Mimi na timu yangu yote tunaamini katika kujenga Chama Taasisi. CHADEMA siyo mali ya Mbowe na viongozi wenzake, ila Mbowe ni kiongozi wa taasisi hii. Uongozi ni dhamana na naheshimu na kulisimamia hili.
Ndugu Freeman, alisema yeye ni kiongozi wa Chadema. Hakusema yeye ni kiongozi wa Chadema wa awamu hiyo ya uongozi, ikimaanisha kutukuwa na ukomo wake wa uongozi. Nadhani kumvua uongozi wa taasisi hii ni kuiua taasisi yenyewe. Na huku ndiko tunaambiwa kumesheheni demokrasia!
 
ana uwezo wa kuvaa hata kama hajapitia jeshi...Kuwa Amri jeshi mkuu pekee anaweza akavaa gwanda zozote anazoonaa yafaaa ni mkuu wa majeshi yote nchini!
Mkuu mbona wanapendelea kuvaa ya JW pekee hizi za magereza na jangle mbona hawazivai ?? Nini changamoto
 
Nchi ilikuwa ya Chama kimoja ndugu,sisemi kuwa Nyerere alikuwa ni Malaika aliiunganisha Tanganyika na Zanzibar bila kutuuliza Wananchi (Referendum) alileta Siasa ya Ujamaa na kujitegemea na Azimio la Arusha bila ya kutaka kushauriwa.

Nyerere hakuwahi kutengeneza magenge ya Wasiojulikana na kupiga Risasi Wabunge hadharani kama huyo wa kwenye avatar yako.
Ilikuwa yavyama vingi, akaviondoa, muuliza Fundikira na kaselabantu,watanzania hatupendi vyama vingi
 
Nauliza tu hasa kwa wale wahenga Pascal Mayalla, Mrangi na Mmawia.

Hata mwaka ule tukienda Mutukula kumfurusha Nduli Amin Nyerere alikuwa anapigilia sare za mgambo.

Siku hizi mgambo wanashughulika zaidi na wamachinga siyo vita.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Nyerere hakuwa mshamba wala limbukeni.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Ukijua kwanini alipenda watu waitane NDUGU!
Ni heshima kwa kila mmoja.
Ndio maana alishuka
 
Nyerere hakupenda kujimwambafy kwa sababu alijua yeye ndio rais wa kwanza wa Tanzania endapo angejimwambafy sana watakaokuja baada yake watamuiga na kuongeza kiburi kama cha hayati mayanga construction

Mayanga construction ni nani mkuu!?
 
Back
Top Bottom