Wema ana 'obsession' na matako. Na ukiwa 'obsessed' hauridhiki. Mi nilianza kusikia anatumia mchina 2010 kipindi hicho bado yupo kwenye chati.
Tulienda na rafiki Yangu duka LA urembo LA shangingi mmoja mjini ndio akatutolea kitu imeandikwa 'hip-up cream' akaanza kutupa maelezo kutuconvince...
Very disgusting.. Hizi siasa za maji taka hizi... Yn kama Huyo Wa Mwibar.. anavyojifanyaga nwanaharakati bungeni, kumbe unafiki mtupu
Lkn hata upinzani pia arobaini yao inakuja. Mama Makinda aliwasemaga kabisa kwenye ule ugomvi Wa tajiri Machache na mheshimiwa Muongo
Na hali ikiendelea hivi...
Mimi ni mgeni kwenye jamvi, 'but with all due respect', ktk muda mfupi jamvini nime-note kuwa Uzi za kukejeli na kukebehi wasomi huwa zinashabikiwa sana.
Maandishi ya MTU ni njia bora zaidi ya kuelewa 'mindset' ya MTU.
Ni kweli wasomi wengi wanatuangusha sana na wametufikisha hapa. Lkn...
Ila wasomi Wa nchi hii wana kazi kwa kweli. Tunawakejeli sana lkn naamini ni mfumo mzima Wa jamii unabidi ulaumiwe. Mtoto anakuwa akiaminishwa kuwa ukisoma sana ndio utakuwa 'tajiri' na maisha mazuri!!!!!!
Kwa hiyo ukisoma mpk PhD level, basi wewe unastahili the best life!!! Unasoma ili kutoa...
Na huo ndio ukweli. Hiyo speech ni ya kisiasa zaidi na ina 'scarcism' pia baada ya kuona video. Watu wamekurupuka nadhani kuanza kushambulia wasomi kwa ujumla.
Lkn nimewaelewa ksb hata Mimi kabla ya kucheki video nilikuwa napata tabu kuelewa hili suala na kuona aibu sana juu yake na...
My main point ilikuwa ni kurespond kwa baadhi ya wachangiaji wanaojiuliza hivi kwanini MTU unajua kabisa athari ya madawa ya kulevya halafu bado tu na wewe unajiingiza kwenye hilo tatizo!!!
Yes. Wapo wengi ni ulimbukeni lakini wapo wengi pia ni kuingizwa bila kupenda/ kutarajia au kukusudia...
Kiukweli hili LA kuweka ngada kwenye chips na pipi na Mimi nalisikia sana mtaani. Tena unakuta unaambiwa kabisa kwa MTU Fulani usinunue chips zake, yule jamaa sio kabisa ksb anachanganya ili kuvuta wateja.
Hili LA pipi yaani mpk nimekuwa muoga najazaga pipi ndani kwa ajili ya watoto na...
Wapo wengi wanawekewa kwenye chakula, keki au kinywaji kwa siri bila kujijua. Ukishakuwa addicted ndio wanakuambia ile " mbingi" uliyokuwa unaiona ni hii kitu. Ndio unaanza kupotea.
Nasikia na mashuleni wanaweka kwenye pipi na watoto wanaanza taratibu.
Hata mitaani ngada inawekwa kwenye...
N
Kweli Mkuu. Ninamuelewa sana, tena sana. Ndio maana nikasema Mungu ampe wepesi. Kkwa sababu comment Yangu imetokana na p'personal experience' na imetoka kwenye chembe ya moyo Wangu. Mitihani ya dunia iliwahi kunichanganya saaana, mpaka nikawekwa unyumba na mganga katika kuhangaika kutafuta...
Mungu akupe wepesi. Kesi ya baba mkwe unampelekea mama mkwe. The devil is the master of deception.
Tatizo kubwa ni kwamba binadamu huwa tunapenda njia za mkato sana. Piga goti chini mpaka livuje damu uone kama Mungu hatashuka kutoka kwenye kiti chake cha enzi.
Mganga anaaminishwa na shetani...
Yani ananikera huyu dogo kurooka..uyadhani ye
Kumbe wengi wamelinote hili suala. Yani dogo huwa ananikeraaaaa.....nadhani anasumbuliwa na inferiority complex.
Nadhani pia tatizo kubwa lipo kwenye mfumo mzima Wa elimu tangu awali na malezi pia ya nyumbani. Walezi Wa awali hasa wazazi wana jukumu LA kumjengea mtoto tabia ya kupenda kujifunza mwenyewe hasa kutoka kwenye vitabu.
Mhadhiri Wa chuo kikuu anapaswa kukuelekeza wapi na jinsi ya kupata maarifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.