Wakifanya huo ujinga mambo mawili yatatokea;
1)itabid kuwaubua hata viongoz wakuu wa ccm na srkl bse kama n deal alipiga na viongoz wengine
2)wenye akili wote watahoji uhalali wa hlo file....walisubl ahame chama ndo hlo file liandaliwe? Kwa nn wasilipeleke mahakaman? Wanasubili nini na nani?
Mbona akili yako aionyeshi kuwa ni independent sasa? Ungeonyesha ameuaje upinzani ndotungekuelewa...chadema wamefanya sasa za uharakati since then...na leo wakipata watu wanaweza ku back up juhudi zao za kukamata dola lazima waunge kushirikiana nae ili kuitekeleza hata falsafa yao ya kupinga...
Sa wananchi kama hawaoni relationship iliyopo kati ya matatizo waliyonayo na kuomba mwongozo bungeni basi ni tatizo la akili ndogo tuuu!!!! Kwani walimchagua akasemee wapi hayo matatizo yao????
Matatizo ya div 5 ndo kama yako.....kazi ya kikatiba ya mbunge ni kutunga sheria, kuisimamia na kuishauri srkl kweny mambo ya kimaendeleo...kiuchumi kinacho justify presence of any govt ni provision of social services kupitia kodi!!!
Suala la tatizo upatknaj wa maji ubungo ni la srkl...mbunge...
kwan sifa za kuwa askofu n zipi? kwa kuwapima kwa vigezo vp hadi kuitwa wa mitaani? mleta hoja acha ushabiki wa kijinga........zungumzia kile kilichoamuliwa na maaskofu alaf kukarukwa na pengo.....hyo ndo hoja huo ----- mpelekee mmeo
Eeeeh we nawe ni kiazi...kwa hyo wizi uhalalishwe na umma ukae kimya kisa eti pesa zilizoibiwa sio za umma? What useless comment have you posted? Kwanza hata kama sio pesa za umma bado umma unawajibika kulinda mali ya mtu mwingine kulingana na katiba ya jamhuri sura ya 1, ibara ya 27, ibara...
Huu nao ni utekelezaji wa ilani wa ccm....serkl sikivu kabisa....wanakula bila kunawa na bado wanajiandaa kuongoza nchi wanayotafuna kila kukicha!!!
Hata kama tungekuwa na sera na mikakati mizuri namna gani...bila kubana matumizi ya hovyo na mianya ya rushwa kama hii....sahau nchi kwenda...
Harakati za Rwakatale haziwezi kuacha kukumbuka vile alivyopigania haki na kutambuliwa kwa vijana wa bodaboda mwanzoni mwa miaka ya 2000 hapa bukoba.....!!!
Kisa cha kufurahisha kwenye harakati zake ni kuungwa kwake mkono na Aman kipindi akiwa katibu wa ccm mkoa...hadi ikapelekea Aman...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.