CHADEMA mmefanya kazi kupita kiasi

CHADEMA mmefanya kazi kupita kiasi

lendila

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
5,805
Reaction score
4,374
CHADEMA sio chama cha mchezo mchezo. Kwa mwaka huu pekee wamefanya kazi kupita malengo yao kwa aslimia mia mbili na ushee wamepiga jalamba watanzania wote sasa wanajiandikisha kwenye daftari la wapiga kura

Kwa kweli hichi chama kinahitaji pongezi kwa kila Mtanzania mpenda demokrasia kazi iliyofaywa na CHADEMA ni kubwa sana ndugu zangu, CHADEMA wamechangia sana watanzania kujua haki zao pamoja na kujijengea uwezo wa kujieleza na kujenga hoja hata kwa wana CCM wenyewe
 
Ukiachia uozo, ufisadi na ujambazi walio expose kwa wananchi wa nchi hii bila kuwaonea haya wausika pamoja na kuwaita majambazi huku wakiwa wamekaa nao kwenye jengo moja ambayo inaitaji roho ngumu ambayo wabunge wengi wa ccm hawana courage kama hiyo

nimeangalia michango yao bungeni ukigawa kwa idadi ya wabunge wao kila mmoja amechangia zaidi ya mara 50 mpaka sasa wakati ukiangalia kwa upande wa ccm michango yao wote ukagawa kwa idadi yao kila mbunge wa ccm amechangia mara mbili tu katika kipindi cha miaka mitano. what a difference. Hongereni chadema chama cha wanyonge
 
Ukweli matumaini ya maisha bora kwa watanzania yamebaki UKAWA tu!!
 
Wamefanya watz kuanza kuhoji na kufatilia mambo ya nchi kuliko kipind chochote tangia demokrasia ya vyama vingi iingie nchini.....
 
Cdm kama wengi tunavyosemaga siku zote kuwa ni nguvu toka kwa mungu,sijawahi kuona wananchi wanawaambia viongozi wao watawala kuwa hawafai kutokana na ufisadi,lkn sasa wananchi wana uthubutu huo,
 
Kazi ni Kweli Wamefanya Kubwa, Wamesensitize Potepote Hadi Vijijini; Wamekubarika Potepote Swali ni Moja tu Je Watazilinda Kura Ambazo Ki-Msingi Zitawafikisha Magogoni.

Ebu CHADEMA/UKAWA Kwa Ushirika Wao Watupe Uhakika wa Kuzilinda Kura za Watanzania Wenye Njaa na mabadiriko ya Kimfumo na Kiuchumi. Na je Wamekubali Kuingia kwenye Uchaguzi Chini ya Tume Hii ya Uchaguzi.

Ni Hatari na Ninawasiwasi Kama M/kiti atakuwa na Ujasiri wa Kuwatangaza Kama Washika Dola Halali.
 
Back
Top Bottom