Hayo ni maneno kuntu...yaliyojaa busara kutoka kwa mzee mkongwe kabisa kwenye ulingo wa siasa...nimependa alichokisema....amezungumza facts.... Kazi kwao hao vibaraka wakuu wa wilaya, mikoa na uyo Mvunjika guu chemba na kaka yake mlinzi wa nyumba...........
Ukioa au kuolewa hauna mamlaka dhidi ya mwili wako kwa mwanza wako......akitaka au ukita haijalishi ni kwa siku mara ngap?? Au day after day or weekly. Hapo ni nyie na nyege zenu tu.......Rejea even maandiko yameruhusu.....
Kweli hawa jamaa hawajaelewa nini maana ya ukuta.........UKUTA haummuliki baba Jesca peke yake bali mfumo wowote kandamizi usiofuata sheria mama za nchi. Hao wadinwani, wabunge, wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa na yule anayeimba kila kukicha kuwa serekali cjui ya nani ndo UKUTA unataka uwavue...
Hama kweli nchi hii inaliwa na wenye ujasiri wao....
Mm nipo hapa kigoma mjini na eneo la tukio ambapo vyeti ivyo vimekamatwa napajua vizur tuu.....
Wasi wasi wangu ktk hili lilianza miez 6 nyuma ambapo kuna vijana watatu walitoka vijiji vya manyovu na wote waliniambia wamekunya kusomea mambo ya...
Kweli nimeamini nyie kabila la watuna mmepokonywa uwezo wa kufikiri......mmemuachia mkuu wenu uwezo hi.....mmemwachia peke yake afikirie kwa niaba yenu.....
Nikirejea matamko yote aliyoyatoa uyo chief wa kabila lenu hakuna hata moja ambalo mnaweza kujivunia mmelifanikisha mpaka sasa.
Na nyie...
Tukutane dom....
Kama walijidanganya wana maasakar wengi kuliko raia basi ujue walijitekenya na kucheka wenyewe..............
Mwanaharakati yeyote duniani anaamini katika mambo matatu...... Jela......Ukombozi.....kifo....
Ukiogopa hayo umepoteza sifa ya kujitoa kwa ajili ya wengine...
Kwaiyo tafsiri ya serekali ya JPM ni kwamba DED kada, DAS kada, DC kada, RC kada, hama kweli ndo mana kuna usalama wa chama na siyo wa Taifa......
R.I.P Democracy in Tz.
Sitaki kuamini kama umu kuna watu wana upungufu wa akili......
Kwaiyo wapinzani hawatakiwi nchi hii.....???
Mnajua maana ya upinzani.....???
Mnajua maana ya vyama vingi.....???
Mnajua malengo na madhumuni ya vyama vingi.......???
NB.
Bila kuwa na upinzani imara ulioonyeshwa na vyama vya...
Walimu wamepuuzwa tangu nchi imepata uhuru....
Wanafunzi wamepewa nafasi kubwa kuwazidi tangu enzi na enzi.......
Zana za kujifunza na kujifunzia ni kitendawili kisichoteguliwa kwa miaka.........
Wazazi wamewaachia walimu suala la malezi ya watoto wao.....na walimu wanajifanya hawajali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.