Tuwajue Ma-DED waliopoteza majimbo na wamebakizwa!

Kwa anayemfahamu aliyekuwa Mkurugenzi wa MTWARA MANISPAA Shimwela akitokea Mufindi katemwa au kapangiwa wilaya gani?
 
Huyo katemwa kaka! Awamu hii tujiandae kwa maumivu, yaani utumishi wa umma nao unakuwa wa kunufaisha makada wa chama? Sijawahi kuona ujinga wa aina hii!
 
Daud Mayeji hajaachwa fatiria Taarifa vzr,yule baba ana moyo wa ki****ya
Mkuu Mayeji Daudi amebakizwa hapo hapo Tanga jiji, sijui atafanya nini huku ana mgogoro na madiwani. Mimi huwa nashangaa sana ninaposikia mburura fulani zinaomba ziombewe huku zimejaa madhambi mwili mzima!
 
huyu wa ilala muache atoswe mla rushwa vzr tena angendolewa yy na maafisa utumishi wake kina munuo
kuna vtu vingine tunaogopa kusema hapa Ila bora alivyotoswa!!
 
Nimejaribu kuchunguza majina ya wakurugenzi yaliyotangazwa hivi karibuni nashindwa kuelewa kama kuna hata mmoja aliyepoteza jimbo au majimbo na amerudishwa kwenye nafasi hiyo? Nikianza na wa Ilala - Isaya Mungurumi (huyu alipoteza Ukonga), rafiki yangu Upendo Sanga (huyu alikuwa Mbeya). Hawa wote wametoswa. Sasa kama kuna yeyote unamfahamu aliyerudishwa tumjue hapa! Haya ndiyo huwafanya ma-DED kutoa maamuzi ya kijinga sana wakati wa uchaguzi! Sasa hivi kuna makada wengi wamejazwa huko, hivyo 2020 tujiandae kisaikolojia!
Acheni kupotosha...............wapo wakurugenzi ambao hawakupoteza majimbo na wametemwa.
 
Angeachwa kasi ya Meya wa UKAWA asingeiweza jamaa hapendi rushwa kabisa, kuna malobist flani walimfata na bahasha zao na wakarudi nazo hakupokea.
 
Acheni kupotosha...............wapo wakurugenzi ambao hawakupoteza majimbo na wametemwa.
Hiyo ya kwako itakuwa ni argument nyingine, mimi nilitaka kujua tu walioachia majimbo yakaenda UKAWA, kama wamebakizwa. Na hapa imeonekana kabisa kwamba hakuna hata mmoja aliyesalimika, hivyo inatoa picha kwamba usipokibeba chama unajitengenezea mazingira ya kufutwa kazi.
 
muwe na mawzo chanya japo siku mojamoja.
 
Mi nina rafiki yangu kachaguliwa hapa Dar... alimpigia magufuli kampeni balaa nakumbuka Karibu kila mkoa alikuwepo. Aligombea udiwani akakosa.

Ni kijana mchapakazi na msomi. Hongera sana kwake
Mi rafiki yako nimeukoda Ghana. Ngoja nizidi kukomaa na biashara ya Nyanya
 
Wakurugenzi waliopoteza majimbo ndio waliotemwa

Hapa magufuli na ccm inaonyesha hawataki demokrasia ya vyama vingi

Hili lipo wazi kuwa magufuli anajenga ccm ila hana mpango kabisa kujenga nchi yetu km anavyosema

Ila akae akijua nchi hii si mali ya wana ccm
 
Mi nina rafiki yangu kachaguliwa hapa Dar... alimpigia magufuli kampeni balaa nakumbuka Karibu kila mkoa alikuwepo. Aligombea udiwani akakosa.

Ni kijana mchapakazi na msomi. Hongera sana kwake
Mambo yako sasa hivi safi maana best kaulaa
 
Yule Mkurugenzi wa Jiji la Tanga aliyemtangaza Meya wa CCM wakati alishinda wa CUF kaachwa, pamoja na kutokaa ofisini miezi mitatu akihofia usalama.
Tunaposoma maandiko matakatifu tunafundishwa kuwa: Shangwe ya waovu ni ya muda kidogo na furaha ya wapotovu ni ya dakika moja tu. Waliomwona watauliza yuko wapi? (Ayubu 20:5-7).
 
Nimejaribu kuchunguza majina ya wakurugenzi yaliyotangazwa hivi karibuni nashindwa kuelewa kama kuna hata mmoja aliyepoteza jimbo au majimbo na amerudishwa kwenye nafasi hiyo? Nikianza na wa Ilala - Isaya Mungurumi (huyu alipoteza Ukonga), rafiki yangu Upendo Sanga (huyu alikuwa Mbeya). Hawa wote wametoswa. Sasa kama kuna yeyote unamfahamu aliyerudishwa tumjue hapa! Haya ndiyo huwafanya ma-DED kutoa maamuzi ya kijinga sana wakati wa uchaguzi! Sasa hivi kuna makada wengi wamejazwa huko, hivyo 2020 tujiandae kisaikolojia!
Uchunguzi wa harakaharaka unaonesha madedi wengi waliokuwa maeneo ambayo wapinzani walishinda wameondolewa.
 
Back
Top Bottom