Siko upande wa kupigwa fitna, nasaport ulichokisema kuhusu Pawa Mabula a.k.a Ncha Kali! Jamaa naona kama anavitu flani vya ziada.
[emoji165]
Sent using Jamii Forums mobile app
Chief Kama kwa mbaali ivi umeongea kitu, japo Twisa nazan He is too expensive na pia sio mtu wa kustick saaana sehemu 1. Mfano ukiangalia kampuni na taasisi alizowahi kuzifanyia kazi na aina ya position alizokua nazo pamoja na mda aliotumia kukaa sehemu husika, basi naamin utapata picha! Ila...
Lakini pia Kiswahili wanaongea japo si sana, kwa hiyo mnaweza kuelewana bei. Moja ya changamoto ya Kampala ni kua kama wakijua wewe ni mgeni bas bei hua inachangmka kidgo. Yes, Kampala kuna vitu vingi vizuri kias unaweza ukanunua na kuvuka budget yako! Angalizo tu Hela ya nauli pamoja na hela ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.