Kwanini Mwami Zitto Zuberi Kabwe hashuki kisiasa?

Kwanini Mwami Zitto Zuberi Kabwe hashuki kisiasa?

Ccm ndiyo wanaongoza kwa mihemuko na micharuko ,tazama mifano hiyo hapo
Labda kwenu chadema mizee ya micharuko walahi
CHAMA CHA FLUSH NDIO MNASEMA LIJAMAA LIKO JUU?
Hivi nyinyi BAVICHA wachaga wamewalipua kabisa walahi
Hahahaha uwiii mcharuko kwishney


Sent using Jamii Forums mobile app
IMG-20190227-WA0001.jpeg
FB_IMG_1550766064153.jpeg


In God we Trust
 
Nimefuatilia Sana na kufanya ka uchunguzi kadogo Sana ingawa Sina data za kutosha , nimegundua kwamba miongoni mwa wanasiasa ambao wamebaki kwenye chati yao waliyoanza nayo ni huyu kijana zitto

Nimemufahamu zitto tangu kwenye kashfa ya Buzwagi ambapo ndipo alipata umaarufu wake na ameendelea kuwa maarufu inchi nzima mpka leo , kana kwamba hata mtoto mdogo anamjua

Hii Ni tofauti na wanasiasa wengine ambao walikuja juu kwa Kasi Sana lakin leo hawasikiki , mfano John mnyika , kafulira , lema na msigwa ..

Najiuliza , kwanini huyu yeye bado Yuko kwenye chati kiasi hiki, na napenda kumpongeza Sana na naomba agombee uraisi mwakani kama umri utamruhusu ..
Jamaa ni level nyingine kabisa kwenye siasa.

Dogo mmoja wa Lumumba (Thobias Mwaisiga ) hadi akaahidi live kwamba atampiga risasi hadharani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kichwani mwako kuna uji wa ulezi uliowekewa na chakubanga baada ya ku drain akili zako
Leo hii wanamkatia nyonga na kumbeba juu juu huku wakimuimbia nyimbo za kishujaa. Makamanda bwana!
tapatalk_1550642956136.jpeg


In God we Trust
 
Ni CCM B, uliona hata spika bungeni ana mkimbia, huku nje napo tunaona anayoyafanya hayana tofauti na ya Lema, Msigwa na Mnyika lakini yeye haguswi.
Kama ni hivyo basi Maalim seif na wapinzani wengine nao watakuwa ni CCM B,maana wanashirikiana naye hata kwenye azimio la unguja alikuwapo,inamaana wenzie wote hawajamshtukia?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni hivyo basi Maalim seif na wapinzani wengine nao watakuwa ni CCM B,maana wanashirikiana naye hata kwenye azimio la unguja alikuwapo,inamaana wenzie wote hawajamshtukia?.

Sent using Jamii Forums mobile app
Zitto ni mamluki ndio maana nakwambia hakamatwi, kushirikiana ni mikakati tu lakini sio kwamba kwa kuwa yeye mammluki na wao wawe mamluki
 
Back
Top Bottom