Mchumba wangu kanisaliti!! Niko kwenye maumivu makali naombeni ushauri


Nyamiyaga

Nyamiyaga

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Messages
673
Likes
497
Points
80
Nyamiyaga

Nyamiyaga

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2017
673 497 80
Nilishakumbwa na mkasa kama wako, nilikuwa nawasiliana naye zaidi ya mara mia mbili kwa siku, hakuwa mchumba bali mke wa ndoa, nimeinvest kwa mke na familia yake, LAKINI hakuwa mke wangu alikuwa MKE WETU. Nimeachana naye... wewe pia achana naye tena unabahati hata hujatangaza kama ni mke. ILA ujue hakuna mwanamke wa peke yako, ukiwa unanamchumba sema mchumba wetu, ukiwa na mke sema mke wetu MWIKO kusema mchumba wangu au mke wangu nasema MWIKO!
Hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
12,592
Likes
16,003
Points
280
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
12,592 16,003 280
People want too much...u only get few good traits in some1..
Mtu akikosa trait moja ndogo anasahau mazuri anaenda kwa mtu mpya
Asee hii tabia mbaya kweli kweli ndio maana nasema kizazi cha leo si cha watu wavumilivu kabisa
 
The Simpson

The Simpson

Member
Joined
Jan 10, 2019
Messages
6
Likes
8
Points
5
The Simpson

The Simpson

Member
Joined Jan 10, 2019
6 8 5
Huyo ulimkosea kuanzia mwanzo. Ulimuendea kistaarabu mno na ukawa mpole mno. Dalili mojawapo ni kukaa mwaka bila papuchi...

Wanawake hawapendi nice guys mkuu. Hata kama ni muoaji, be a man. Kuwa na misimamo. Usifuate matakwa yake muda wote, be a priority to yourself.

Muendeshe. Demand utmost respect. Usionyeshe kumuamini. Onyesha kuwa una options na sio kwamba yeye ndio kila kitu kwako. Mwambie kuwa she is highly replaceable hivyo akijiskia at any time anaweza kuondoka.

Mmiliki, lakini be confident. Usimfuatilie mawasiliano yake na nyendo zake. Na ukigundua kitu kwenye simu yake, usimwambie. Basically ingekuwa mahakamani tungesema whatever you find in her phone is inadmissible evidence.

Hakuna principle moja kwamba ukimpa mwanamke kitu flani atatulia. No man knows what women want. Neither do themselves. Neither does God, hata akasema tuishi nao kwa akili.

Hizo principles nilizokupa zitakukinga dhidi ya upuuzi wa hawa viumbe in the future. Your sanity is more important than sex and affection.

Huyo hata ukimsamehe, nakuasi usirudiane naye. Ameshakumark weakness yako. Alianza kukupush limits zako kidogo kidogo na ameshazisogeza sana. Hakufai tena.

Kila mtu ana namna yake ya kudeal na heartbreak. Do what a nigga's got to do.

Sent using Jamii Forums mobile app
Well Said Brother

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Million dollars

Million dollars

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Messages
1,038
Likes
1,029
Points
280
Age
24
Million dollars

Million dollars

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2016
1,038 1,029 280
Pole mkuu,kama umekula papuchi yake na ikakuvutia piga kimya endelea na taratibu oa,pia usipende kuchunguza sana simu ya mpenzi wako

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie ndo mnapigiwa Daily! sasa hapo asingeangalia simu si angeoa garasa! Mm nampongeza sana kwa kuangalia simu na kugundua madudu mapema


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Leonardchama7

Leonardchama7

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2018
Messages
990
Likes
799
Points
180
Leonardchama7

Leonardchama7

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2018
990 799 180
Nyie ndo mnapigiwa Daily! sasa hapo asingeangalia simu si angeoa garasa! Mm nampongeza sana kwa kuangalia simu na kugundua madudu mapema


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu kwani hata ukiangalia simu ndio huchapiwi?jidanganye hivyohivyo kama hujui wenzio wamekalili namba za wapenzi wao kuliko miaka yao waliozaliwa,mkuu tambua pia hainaga makombo na kizuri kula na wenzio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jokajeusi

Jokajeusi

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2018
Messages
3,176
Likes
3,219
Points
280
Jokajeusi

Jokajeusi

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2018
3,176 3,219 280
Ulijuaje Mpenzi wako anamsimamo je ulimkuta Bikra??

Bila Bikra huna uhalali wa kumtetea mkeo au mpenzi wako.
 
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
12,592
Likes
16,003
Points
280
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
12,592 16,003 280
Pesa isnt the answer either ...japo ina nafasi yake ukijua kuitumia
Yeah ina nafasi yake kweli, kuboresha mahusiano. Ila sasa wenzetu wengi japo si wote hamuelewi mtu bila chenchi sikuhizi.
 
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2016
Messages
4,937
Likes
4,502
Points
280
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2016
4,937 4,502 280
Yeah ina nafasi yake kweli, kuboresha mahusiano. Ila sasa wenzetu wengi japo si wote hamuelewi mtu bila chenchi sikuhizi.
Kwa sbb hata km ukivumilia siku akizipata anamtafta mpya...tafteni tu pesa jmn...jinsia zote..
 
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
12,592
Likes
16,003
Points
280
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
12,592 16,003 280
Kwa sbb hata km ukivumilia siku akizipata anamtafta mpya...tafteni tu pesa jmn...jinsia zote..
Inategemea na mlivyoishi, siamini kama mtu ulieishi nae kwa upendo bila masimango ama style za kumcheat wakati hana pesa anaweza kuendelea kuwa na wewe akizishika noti. How you behave by the time a man needs you the most ita determine his reaction kipindi ambacho amezipata za kutosha. Tatizo wengi wanaishi na mtu akiwa hana wanamsimanga na kudanga pembeni af wanatarajia miujiza.

Wanaume tunaopenda kikweli ule muda wa kulipa fadhila huwa tupo makini nao sana, ukiwaza jinsi huyu mwanamke amekuwa a woman and a half to me, very supportive, loving and understanding naona wacha nimu wife kabisa. Wacha nimtunze vile anastahili jamani. Ma shopping, ma vacay kama yootee ani!
 
Iza

Iza

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2009
Messages
1,911
Likes
176
Points
160
Iza

Iza

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2009
1,911 176 160
Ukimuendekeza utakufa muda si wako na kuwapa simanzi wazazi wako, rudi kwako tulia kwa muda tafuta demu maisha yaende. Muache awe na anachotaka..!
 

Forum statistics

Threads 1,274,081
Members 490,586
Posts 30,500,529